
Messi bora zaidi Ulaya
Mchezaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ametajwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya. Messi ameibuka katika nafasi hiyo baada ya kumzidi mchezaji bora wa dunia anayemali…
August 28, 2015Mchezaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ametajwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya. Messi ameibuka katika nafasi hiyo baada ya kumzidi mchezaji bora wa dunia anayemali…
August 28, 2015*Ni Arsenal na Bayern tena *Chelsea na Porto, Man City na Juventus *Man United kujiuliza kwa PSV ya Depay Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) imetoka, ambapo kwa mara ya tatu…
Fainali ya Ligi ya Europa itawakutanisha Dnipro na mabingwa watetezi, Sevilla baada ya Dnipro kuwachapa Napoli. Mshambuliaji wa Ukraine, Yevhen Seleznyov ndiye alifunga bao pekee katika mchezo huo.…
May 15, 2015Liverpool na Tottenham Hotspurs zimetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Europa, Liver wakitolewa kwa penati 5-4 walipocheza na Besiktas. Spurs kwa upande wao wametolewa na Fiorentina kwenye mechi iliyom…
February 27, 2015*Man U wapata majeruhi mwingine Mataifa ya Ulaya yameshauriwa kuunganisha nguvu kugomea fainali zijazo za Kombe la Dunia ili iwe shinikizo kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kufanya mageuzi ma…
November 17, 2014Arsenal wamepangwa kucheza na Besiktas katika mechi mbili zitakazoamua nani asonge mbele kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Vijana hao wa Arsene Wenger wanatafuta kuvuka hatua hiyo kwa mara ya 15 mfululiz…
August 8, 2014Jumamosi hii ni siku kubwa katika soka kwani miamba wa Hispania, Real Madrid na Atletico Madrid wanavaana kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL). Ni historia ya aina yake, kwani zinakutana timu k…
May 24, 2014*Chelsea na PSG Manchester United wamepangwa kucheza na Bayern Munich kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL). United waliofurahia sana ushindi wao wa Jumatano dhidi ya Olympiakos…
March 21, 2014*Real Madrid nao wapita Chelsea wamefanikiwa kuingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) baada ya kuwapiga Galatasaray 2-0 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge. Mabao ya Samuel Eto’o na Garry Ca…
March 19, 2014Real Madrid wawakung’uta Schalke 6-1 Chelsea wamekwua timu pekee ya England katika raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) kuambulia pointi. Wakicheza ugenini dhidi ya Galatasaray, Chelsea wal…
February 27, 2014Bayern Munich wamejiongezea taji jingine baada ya kuwafunga Raja Casablanca ya Morocco 2-0 na kutwaa Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia. Katika mechi iliyopigwa jijini Marrakech kwenye falme ya Morocco, W…
December 22, 2013*Real Madrid, PSG nao waibuka kidedea Manchester United jana walikuwa na kicheko nchini Ujerumani baada ya kuwakandika Bayer Leverkusen mabao 5-0 katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (…
November 28, 2013*Real Madrid, Dortmund nusu fainali Ulaya Ulikuwa usiku wa mabao matano matano katika viwanja viwili kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Wakiingia uwanjani Uturuki na faida ya mabao matatu w…
April 9, 2013*Bayern Munich wawachinja Juventus Wakicheza kwa kujiamini tangu mwanzo, Paris Saint-Germain wamewabana vilivyo Barcelona, na kutoa sare ya mabao 2-2. Nyota wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic aliyeshi…
April 2, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.