
CAMEROON MABINGWA WAPYA AFRIKA
Cameroon wameibuka mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017) baada ya kuwafunga Misri kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo uliopigwa ndani ya dimba la d’Angondjé jijini Libreville…
February 6, 2017Cameroon wameibuka mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017) baada ya kuwafunga Misri kwa mabao mawili kwa moja katika mchezo uliopigwa ndani ya dimba la d’Angondjé jijini Libreville…
February 6, 2017Klabu ya Zamalek wametangazwa kuwa mabingwa wapya wa Misri na wameshangilia kwa nguvu taji hilo walilolisaka kwa zaidi ya muongo mmoja. Zamalek walishinda 3-2 walipocheza na Al Geish katika mechi amba…
July 31, 2015Kwa mara nyingine Timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars wamepoteza mechi muhimu na kuwatia simanzi wapenda soka nchini Tanzania. Baada ya mfululizo wa kufungwa mechi kadhaa, ikiwa ni pamoja na zote k…
June 18, 2015Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa mabao…
June 15, 2015Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchez…
June 11, 2015Adhabu ya kifo palepale Mahakama nchini Misri imeshikilia uamuzi wa adhabu ya kifo kwa washitakiwa 11 waliohusika na fujo zilizosababisha mauaji kwenye dimbani katika jiji la Port Said 2012. Machafuk…
June 9, 2015Mamlaka nchini Misri zimesitisha mechi za ligi ya soka baada ya vurugu zilizosababisha vifo vya washabiki zaidi ya 22 katika uwanja jijini Cairo. Washabiki walikufa na wengine kujeruhiwa kutokana na k…
February 10, 2015The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.