Arsenal, Chelsea nguvu sawa
*Man United wapigwa tatu bila Mtanange mkubwa katika Jiji la London umemalizika kwa suluhu baina ya Arsenal na Chelsea. Kama ilivyotarajiwa, Chelsea walijilinda zaidi kuliko kus…
April 27, 2015*Man United wapigwa tatu bila Mtanange mkubwa katika Jiji la London umemalizika kwa suluhu baina ya Arsenal na Chelsea. Kama ilivyotarajiwa, Chelsea walijilinda zaidi kuliko kus…
April 27, 2015United sasa wamtaka Fellaini Suarez asema aachwe aondoke Pilikapilika za usajili zimeendelea, ambapo klabu ya Barcelona ya Hispania imetuma dau la kutaka kumsajili beki wa kati wa Chelsea, David Luiz…
August 7, 2013*Moyes angemnasa Fabregas kimya kimya *Mbinu za Fergie zinapotea Old Trafford Manchester United wanahaha kuonyesha kwamba David Moyes ni mahiri anayeweza kunasa wachezaji nyota kwenye usajili huu.…
July 25, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.