
Brazil wavuka
*Mexico washinda na kuwatoa Croatia *Uholanzi wasafi, Hispania wajiliwaza Brazil wamefanikiwa kufikia hatua ya 16 bora baada ya kuwashikisha adabu Cameroon kwa mabao 4-1. Neymar wa Barcelona alifun…
June 24, 2014*Mexico washinda na kuwatoa Croatia *Uholanzi wasafi, Hispania wajiliwaza Brazil wamefanikiwa kufikia hatua ya 16 bora baada ya kuwashikisha adabu Cameroon kwa mabao 4-1. Neymar wa Barcelona alifun…
June 24, 2014Croatia wamechukizwa na uchezeshaji wa mwamuzi kutoka Japan, Yuichi Nishimura aliyewapa Brazil penati tata. Kocha na wachezaji wa Croatia wanaona kwamba mchezaji wa Brazil, Fred, alijirusha…
June 13, 2014* Nimeshaingia studio za BBC London, kukuchambulia mchezo huu wa ufunguzi. Kupitia Idhaa ya kiswahili ya BBC na radio washirika. SIJASOMA kwa kina historia ya mipira inayotumika kwenye fainali za komb…
June 12, 2014Timu ya Taifa ya England imepata ahueni baada ya kubaini kwamba kiungo wao, Alex Oxlade-Chamberlain atakuwa fiti kucheza kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil. Ox, kama wanavyopenda kufupisha wenzake,…
June 8, 2014England wamekwenda sare ya 2-2 katika mechi ya kujipima nguvu dhidi ya washiriki wenzao kwenye fainali za Kombe la Dunia, Ecuador. Katika mechi hiyo, kiungo wa England na Arsenal aliyetoka kwenye mapum…
June 5, 2014*Mbivu na mbichi kujulikana Ijumaa Brazil *Hurst, Cafu, Zidane, Cannavaro kuchagua Tunaikaribia siku kubwa ambapo Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) litapanga makundi ya timu kwenye fainali za K…
December 4, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.