
BUFFON TAZAMA PICHA YA ZIDANE
Kila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 4…
April 12, 2018Kila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 4…
April 12, 2018Zinedine Zidane na Massimiliano Allegri wote kwa pamoja wanaingia fainali yao ya pili ya ligi ya mabingwa barani ulaya ndani ya miaka 3. Tofauti inayokuja kati yao ni moja, Massimiliano Allegri alipote…
June 3, 2017Jana kwenye mechi ya Monaco na Juventus kuna vitu vingi ambavyo vilikuwa vinasubiriwa kwa hamu vitokee, moja ya kitu kikubwa ni kusubiri kuona kama Monaco ambayo ilikuwa na safu imara ya ushambuliaji ka…
May 4, 2017REAL MADRID VS BAYERN MUNICH. Bayern Munich walifanya mechi ionekane wazi lakini refa alikuja kuziba uwazi na kujenga ukuta ambao ƴulimwia ugumu Bayern Munich kupata mlango wa kupitia. Kuanza vizuri…
April 20, 2017Antonio Conte tayari ameshathibitishwa kuwa meneja mpya wa Chelsea. Ataingia kazini mwezi Julai kukiandaa kikosi kwa ajili ya msimu ujao. Kocha huyo Muitaliano anafahamika kwa matumizi ya mfumo wa 3-…
April 5, 2016PAMBANO la raundi ya 16 mtoano kati ya Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich na Italia, Juventus Turin lilikuwa la kusisimua. Tangu mwanzo wa mchezo kulikuwa na mbinu nyingi za makocha na wachezaji binaf…
March 17, 2016*Chelsea wampeleka Quadrado Juventus *West Brom wamkatalia Saido Beraniho Hatimaye Mario Balotelli anaelekea kuondoka Liverpool kurudi nyumbani kujaribu maisha AC Milan kwa m…
August 25, 2015*Chelsea na Higuain Bilic kocha mpya West Ham *Alves abaki Barcelona, Carver ‘out’ Newcastle Mabingwa wa Italia, Juventus wamemsajili kiungo mahiri wa Real Madrid na Ujerumani, Sami Khedira amba…
June 9, 2015Dhamira ilikuwa kubwa kwa Juventus kuutwaa ubingwa wa Ulaya lakini walikuwa Barcelona waliofanikiwa kuchanga vyema karata zao. Katika mtanange mgumu uliofanyika Uwanja wa Olimpiki jijini Berlin, U…
June 7, 2015*Pogba atoa barua kutaka kuondoka Juve Pellegrini shinikizo chini, Ibe atia wino Kocha wa Real madrid, Carlo Ancelotti amesema hajui kama atabaki kuwa kocha wa klabu hiyo iliyotema ubingwa wa Ulaya Jum…
May 14, 2015Awali ni awali tu na la kuvunda halina ubani; Juventus wamewavua ubingwa wa Ulaya Real Madrid. Katika mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) iliyopigwa nyumbani kwa Madrid, Santiago Bern…
Barca vs Bayern, Real Madrid vs Juve Droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) imezikutanisha timu mbili ambazo kocha Pep Guardiola anazijua barabara. Bayern Munich wana…
April 24, 2015The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.