
Everton wamfukuza kazi Koeman
Siku moja baada ya Everton kukung’utwa nyumbani kwao Goodison Park mabao 5-2 na Arsenal, wamemfukuza kazi kocha wao, Ronald Koeman. Mdachi huyu aliyeingia hapo akitoka Southampton na akiwa na rekod…
October 23, 2017Siku moja baada ya Everton kukung’utwa nyumbani kwao Goodison Park mabao 5-2 na Arsenal, wamemfukuza kazi kocha wao, Ronald Koeman. Mdachi huyu aliyeingia hapo akitoka Southampton na akiwa na rekod…
October 23, 2017*Mata alijua mapinduzi Man United Arsenal walio kwenye matayarisho ya msimu mpya wamefanikiwa kutwaa taji la Barclays Asia baada ya kuwafunga Everton 3-1 kwenye mechi ambayo kiungo wake, Santi Cazorl…
July 19, 2015*Cardiff, Fulham washuka daraja Mwenendo wa ubingwa wa England sasa unatoa nafasi kubwa kwa Manchester City. Baada ya kupambana kwa tabu kwenye uwanja wa ugenini, Man City walifanikiwa kuibuka na ushi…
May 4, 2014Real Madrid wawapiga Barca Copa Del Rey NIA za Manchester City kutwaa ubingwa na Everton kupata nafasi ya nne zimepata mapigo makubwa, baada ya City kwenda sare huku Everton kufungwa, wote wakicheza na t…
April 17, 2014Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kwamba wao watajitahidi kushinda mechi walizobakiza huku wakiomba Everton wajikwae. Arsenal ambao waliwafunga West Ham 3-1 usiku wa Jumanne katika dimba la Em…
April 16, 2014*Benteke nje kwa miezi sita Kiungo Aaron Ramsey aliyewabeba Arsenal tangu mwanzo wa msimu hadi alipoumia Desemba 26 mwaka jana, anarejea uwanjani. Ramsey (23) ni moja ya sababu za Arsenal kupanda hadi n…
April 4, 2014*Ajeruhiwa mguu na Agger wa Liverpool ARSENAL wamepata pigo kubwa, baada ya mchezaji wa Liverpool, Daniel Agger anayekipiga Timu ya Taifa ya Denmark kumuumiza Jack Wilshere kwenye mechi dhidi ya En…
March 7, 2014*Fulham waona mwezi kwa Villa Kasi ya Arsenal imepunguzwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, baada ya kwenda sare ya 1-1 na Everton. Katika mchezo mkali, Arsenal walitangulia kupata bao dakika 1…
December 8, 2013*Arsenal, Chelsea, Liverpool, Spurs safi Kocha David Moyes alikuwa na wakati mgumu alipoikaribisha timu yake aliyoiongoza kwa miaka 11 ya Everton katika dimba la Old Trafford. Kwa mara nyingine tena,…
December 5, 2013*Hawajapoteza mechi, wawashusha Chelsea Klabu ya Everton imeendelea kushikilia rekodi ya kutopoteza mchezo tangu kuanza msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL). Everton usiku wa Jumatatu wamewafunga…
October 1, 2013*Chelsea wacheka, Sunderland gunia la mazoezi *Everton wazidi kung’aa Newcastle Mzunguko wa tano wa Ligi Kuu ya England (EPL) umeanza kwa Liverpool waliokuwa wakitambia ushindi mfululizo kupokea…
September 21, 2013Moyes, amekalia kuti kavu Man Utd… Nianze kwa kusema kwamba David Moyes ni kocha mzuri sana na amefanya kazi ya ajabu iliyowapendeza wadau wa Everton. Moyes alikabidhiwa timu ambayo ilikuwa kawa…
May 9, 2013*Wawatandika Man United kwao *Liverpool wawavimbia Everton Baada ya ‘kuishi kwa matumaini’ kwa dakika 86 dimbani Old Trafford, Chelsea wameweka hai matumaini ya kucheza Ligi ya Mabingw…
May 5, 2013*Di Canio balaa, awatungua Everton kweupe *Reading, Wigan, QPR waelekea kuaga EPL Mzunguko wa 33 wa Ligi Kuu ya EPL umeshuhudia Arsenal wakichupa tena nafasi ya tatu, baada ya kuwafunga Fulham 1-0. Pamo…
April 20, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.