
Man U wamwendea Sanchez
*Wanatoa ofa kubwa kuliko Man City *Theo Walcott anakwenda Everton? MAMBO yanazidi kunoga kwenye Dirisha la Usajili, ambapo Manchester United wameingia kwenye vita dhidi ya Manchester City kwa ajili…
January 12, 2018*Wanatoa ofa kubwa kuliko Man City *Theo Walcott anakwenda Everton? MAMBO yanazidi kunoga kwenye Dirisha la Usajili, ambapo Manchester United wameingia kwenye vita dhidi ya Manchester City kwa ajili…
January 12, 2018Chelsea katika dirisha hili dogo la usajili wamefanikiwa kumchukua kiungo Ross Barkely kutoka katika timu ya Everton. Wana idadi kubwa ya viungo wa kati kama Kante, Bakayoko, Fabregas, Danny Drink-Wa…
January 10, 2018Maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Gor Mahia ya Kenya na Everton ya England, utakaofanyika Julai 13, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, yamekamilika. Tayari Gor Mahia kutoka Kenya –…
July 11, 2017Huwezi izungumzia Everton ukaacha kumtaja Lukaku, huyu ndiye nembo ya timu ya Everton kwa sasa, yupo katika kiwango bora àmbacho hajawahi kuwa nacho katika maisha yake ya soka. Katika mechi sita ziliz…
April 1, 2017*Man City wavutwa shati EPL Chelsea wameendelea kupata mapigo, baada ya kutupwa nje ya michuano ya Kombe la FA na Everton. Alikuwa Romelu Lukaku, mchezaji wao wa zamani ambaye hakupendwa na bosi a…
March 13, 2016*Vieira bosi mpya New York City Real Sociedad wamemfukuza kazi kocha wao, David Moyes, aliyefanya kazi huko kwa siku 364. Kocha huyu wa zamani wa Manchester United, Everton na Preston anao…
November 10, 2015Ligi Kuu ya England (EPL) imeingia mzunguko wa pili, huku timu zikionekana kuendelea kujipanga wakati dirisha la usajili likiwa wazi kwa wiki mbili zaidi. Wakati baadhi ya matokeo yamekuwa ya ka…
August 16, 2015*Man United wapigwa tatu bila Mtanange mkubwa katika Jiji la London umemalizika kwa suluhu baina ya Arsenal na Chelsea. Kama ilivyotarajiwa, Chelsea walijilinda zaidi kuliko kus…
April 27, 2015Arsenal wametoka sare ya 2-2 nyumbani kwa Everton katika mchezo mkali ambao hadi dakika saba kabla ya mechi kumalizika, wenyeji walikuwa mbele kwa 2-0. Timu zote zilishinda mechi zao za kwanza katika li…
August 24, 2014Everton wamepata pigo kubwa, kutokana na kuumia kwa kiungo wao chipukizi na mahiri, Ross Barkley. Kocha Roberto Martinez amesema kwamba Barkley (20) anaweza kuwa nje ya dimba kwa hadi miezi mitano, kut…
August 17, 2014*Arsenal, Chelsea, Spurs zawinda nafasi mbili *Moyes: Everton tutawabana Chelsea vilivyo Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza (EPL) inaingia mzunguko wa mwisho, timu tatu zikiwania nafasi mbili za kuiwakil…
May 18, 2013*Everton safi, wengine waambulia sare Kama ulikuwa unawatilia shaka Arsenal, basi huna budi kuendelea kuwasubiri hadi kipenga cha mwisho, kwani mauaji yao hayana mpaka. Wakicheza nyumbani Emirates…
April 13, 2013*Aston Villa sasa waona mwezi Manchester United wamezidi kuwaweka pabaya mabingwa watetezi, Manchester City, baada ya kupaa kileleni mwa ligi kwa tofauti ya pointi 12. United waliokuwa wakion…
February 10, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.