
Ni Vigil van Dijk
*Mchezaji bora wa Ulaya, beki kisiki Liver *Amezima ukiritimba wa Ronaldo na Messi Mlinzi wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk ndiye mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya, akikatisha zama za ukiritimba wa ak…
August 31, 2019*Mchezaji bora wa Ulaya, beki kisiki Liver *Amezima ukiritimba wa Ronaldo na Messi Mlinzi wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk ndiye mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya, akikatisha zama za ukiritimba wa ak…
August 31, 2019Miaka 29 sasa, miaka ambayo ni umri wa mtu mzima. Miaka ambayo Liverpool wamekaa bila kubeba kombe la ligi kuu ya England. Ni miaka mingi sana. Wameishi jangwani kwa muda mrefu bila ya msaada wa kupata maji…
March 5, 2019Nimekumbuka kipindi ambacho Jurgen Klopp alipokuja Liverpool. Liverpool ilikuwa timu ya kuunga unga. Haikuwa timu yenye ushindani ambao unaweza kujivunia kuwa hii ni timu bora. Hilo Jurgen Klopp ali…
January 1, 2019Makocha tisa wamepita kabla yake, kila kocha alikuwa na kazi moja tu nayo ni kurudisha hadhi ya klabu ya Liverpool katika ligi kuu ya England. Hii ndiyo klabu ambayo Waingereza walikuwa wanajivunia sana…
December 15, 2018Mambo yameanza; hatimaye Manchester City wamefumba macho kwa mara ya kwanza msimu huu kwenye Ligi Kuu ya England (EPL). Jamaa hawa wa Uwanja wa Etihad walio chini ya Pep Guardiola wamepoteza mechi kwa ku…
December 10, 2018April 28 mwaka 1990, ndiyo ulikuwa mwaka wa mwisho kwa Liverpool kubeba kombe la ligi kuu ya England. Miaka 28 iliyopita, umri wa mtu mzima. Na kuna uwezekano kabisa asilimia kubwa ya mashabiki wa Liverpo…
August 15, 2018Jose Mourinho anaweza kumaliza uteja kwa Jurgen Klopp? Mechi nane walizokutana Jose kashinda mechi moja na kupata sare mechi 4 huku akifungwa tatu Alama mbili pekee zinawatenganisha hawa watu na wako k…
March 10, 2018Liverpool wamekuwa timu ya pili ya Ligi Kuu ya England kufikisha mabao 100 ya mashindano yote msimu huu baada ya hapo jana kuwaadhibu West Ham United kwa kipigo cha 4-1 ndani ya dimba la Anfield. Wanayo mab…
February 25, 2018Jana Jurgen Klopp alifanikiwa kumaliza utawala wa Manchester City wa kwenda mechi mechi 22 bila kufungwa. Anazidi kujiwekea rekodi nzuri dhidi ya Pep Guardiola, mpaka sasa katika michezo 12 waliyokut…
January 15, 2018Leo kuna mechi ambayo inawakutanisha Liverpool na Manchester City katika uwanja wa Anfield. Mechi ya mzunguko wa kwanza Manchester City alifanikiwa kuifunga Liverpool goli 5-0. Leo hii wanakutana wa…
January 14, 2018Liverpool wamefanikiwa kumsajili beki wa Uholanzi kutoka katika klabu ya Southmpton. Kwa ada ya Pauni Milioni 75, ada inayomfanya kuwa beki ghali zaidi duniani kwa sasa. Katika ada hii timu yake ya Celt…
December 31, 2017ARSENAL vs LIVERPOOL. Arsenal katika mechi hii walitumia mfumo wa 4-3-2-1 wakati Liverpool walianza na mfumo wa 4-3-3, ila walikuwa wanabadirika kulingana na wakati, kuna kipindi walicheza 4-3-2-1 n…
December 24, 2017ARSENE WENGER ATAENDELEA KUWA MNYONGE KWA JURGEN KLOPP? Mechi nne zimeshawakutanisha ,katika mechi hizi nne Jurgen Klopp amefanikiwa kushinda mechi tatu na kutoka sare mechi moja na kumfunga goli 14.…
December 22, 2017England ina historia kubwa sana duniani. Pamoja na kwamba hawa watu ndiyo walikuwa wa kwanza kugundua teknolojia duniani na kuifanya England kuwa sehemu kubwa ya soko la biashara duniani enzi hizo, pia…
October 2, 2017The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.