
Di Maria aelekea PSG
*Man United wamsubiri Pedro *Chicharito kuondoka United Kiungo aliyevunja rekodi ya Uingereza kwa kusajiliwa na Manchester United kwa pauni milioni 59.7 msimu uliopita, Angel Di Maria anakam…
August 5, 2015*Man United wamsubiri Pedro *Chicharito kuondoka United Kiungo aliyevunja rekodi ya Uingereza kwa kusajiliwa na Manchester United kwa pauni milioni 59.7 msimu uliopita, Angel Di Maria anakam…
August 5, 2015*Angel Di Maria: Nataka kwenda PSG *Christian Benteke anaenda Liverpool Arsenal wanafikiria kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Edin Dzeko, 29, kwa ajili ya kusaidiana na Olivier Giroud. Was…
July 20, 2015Manchester United watalazimika kuvunja rekodi ya madau ya usajili kwa Uingereza, ili kumpata winga wa Argentina anayetaka kuondoka Real Madrid, Angel Di Maria. Kocha wa Real, Carlo Ancelotti amebain…
August 24, 2014*Angel Di Maria aelekea Man United? *Man City wamfuata Elaquin Mangala *Rio Ferdinand QPR, Khedira Arsenal Pilika pilika za usajili zinaendelea, ambapo inaelezwa kuwa Barcelona wanaelekea kukamili…
July 4, 2014The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.