
Moyes afukuzwa Sociedad
*Vieira bosi mpya New York City Real Sociedad wamemfukuza kazi kocha wao, David Moyes, aliyefanya kazi huko kwa siku 364. Kocha huyu wa zamani wa Manchester United, Everton na Preston anao…
November 10, 2015*Vieira bosi mpya New York City Real Sociedad wamemfukuza kazi kocha wao, David Moyes, aliyefanya kazi huko kwa siku 364. Kocha huyu wa zamani wa Manchester United, Everton na Preston anao…
November 10, 2015*Asema kuna ofa nyingi lakini anapumzika Kocha wa zamani wa Manchester United, David Moyes anaamini alistahili kupewa muda zaidi kuwanoa Mashetani Wekundu hao. Moyes (51) aliyefukuzwa kazi akiwa mwe…
June 1, 2014*Van Gaal, Klopp, Simeone wafikiriwa Hatimaye David Moyes amefukuzwa kazi ya ukocha kwenye klabu ya Manchester United walioshindwa kutetea ubingwa wao. Hatua hiyo imekuja baada ya uvumilivu mkubwa w…
April 23, 2014*Man United wakong’ota, Arsenal wapigwa Ligi Kuu ya England (EPL) imeanza kwa mapigo tofauti, ambapo mabingwa watetezi wamefanikiwa kushinda mechi ya kwanza dhidi ya Swansea City. Vijana wa David M…
August 17, 2013*Zijue timu tano zitakazopewa nafasi *Gareth Bale kutoanza mechi Spurs *Scott Parker QPR, Bent atua Fulham Washabiki wa soka wameshajiweka tayari kutazama mechi za msimu mpya wa Ligi Kuu England (EPL)…
August 16, 2013Mabingwa watetezi wa England, Manchester United wamempa kocha mpya, David Moyes zawadi kwa kutwaa Ngao ya Jamii. Katika mechi iliyokipigwa katika Uwanja wa Wembley dhidi ya klabu inayoshushwa daraja…
August 12, 2013United sasa wamtaka Fellaini Suarez asema aachwe aondoke Pilikapilika za usajili zimeendelea, ambapo klabu ya Barcelona ya Hispania imetuma dau la kutaka kumsajili beki wa kati wa Chelsea, David Luiz…
August 7, 2013Jitihada za Kocha Jose Mourinho ‘The Only One’ kumpata mpachika mabao wa Manchester United, Wayne Rooney zimegonga tena mwamba. Mashetani Wekundu wamekataa ofa ya pili kutoka Stamford Bridge kwa…
August 5, 2013*Moyes angemnasa Fabregas kimya kimya *Mbinu za Fergie zinapotea Old Trafford Manchester United wanahaha kuonyesha kwamba David Moyes ni mahiri anayeweza kunasa wachezaji nyota kwenye usajili huu.…
July 25, 2013*David Moyes aanza kwa kichapo Man U *Alcantara amkimbia na kwenda Bayern Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameanza mazungumzo na klabu hiyo, na anatarajiwa kuongezwa mkataba wa muda mrefu Emirates. Mfa…
July 15, 2013*Ni Pulis wa Stoke, Benitez apigiwa chapuo *Ukiacha Wenger, aliyekaa zaidi ni miaka 3 Msimu wa 2012/13 umeonekana mchungu kwa makocha, kwani Tony Pulis wa Stoke City ametema kibarua chake, siku c…
May 22, 2013*Arsenal, Chelsea, Spurs zawinda nafasi mbili *Moyes: Everton tutawabana Chelsea vilivyo Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza (EPL) inaingia mzunguko wa mwisho, timu tatu zikiwania nafasi mbili za kuiwakil…
May 18, 2013*Vita ya kushuka ni Wigan, Sunderland, Villa Hafla ya kukabidhiwa kombe na kumuaga kocha Sir Alex Ferguson imefana baada ya Manchester United kuwafunga Swansea 2-1 na kufikisha pointi 88 dhidi ya 75 za M…
May 12, 2013Moyes, amekalia kuti kavu Man Utd… Nianze kwa kusema kwamba David Moyes ni kocha mzuri sana na amefanya kazi ya ajabu iliyowapendeza wadau wa Everton. Moyes alikabidhiwa timu ambayo ilikuwa kawa…
May 9, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.