
VIDAL ANAFUATA NYAYO ZA FABREGAS
Cesc Fabregas aliichezea Arsenal kuanzia 2003 mpaka 2011. Akiwa na umri wa miaka 19 tu aliichezea Arsenal kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2006 dhidi ya Barcelona. Ndani ya mwaka huo…
August 7, 2015Cesc Fabregas aliichezea Arsenal kuanzia 2003 mpaka 2011. Akiwa na umri wa miaka 19 tu aliichezea Arsenal kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2006 dhidi ya Barcelona. Ndani ya mwaka huo…
August 7, 2015Chelsea wamepambana hadi kushinda 3-1 baada ya kuanza nusu ya kwanza vibaya dhidi ya Leicester. Mabingwa hao watarajiwa walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa bao moja lililofungwa na Marc…
April 30, 2015*Wenger atamaliza ubishi wa Mourinho? Mawazo ya wadau wengi wa soka yanaelekezwa kwenye mechi kubwa ya Jumapili hii baina ya Arsenal na Chelsea katika Ligi Kuu ya England. Licha ya kwamba zipo mechi nyin…
April 24, 2015*Mancini aacha kazi Galatasaray Manchester United wamejitoa katika mbio za kuwasajili Edinson Cavani wa Paris Saint-Germain (PSG) na Cesc Fabregas wa Barcelona. Bosi mpya wa United, Louis van Gaal am…
June 12, 2014*Asema akitoka Barca ni Emirates tu Nahodha wa zamani wa Arsenal, Cesc Fabregas anayekipiga Barcelona ya Hispania, amedokeza uwezekano wa kurudi Emirates. Fabregas amesema kwa sasa anafurahia mambo…
February 22, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.