
Makocha wapya Guinea, Ethiopia
Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa, Luis Fernandez ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Guinea. Fernandez (55) amesaini mkataba wa miezi 20, wenye kipengele cha kuuongeza, Shirikisho la Sok…
April 29, 2015Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa, Luis Fernandez ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Guinea. Fernandez (55) amesaini mkataba wa miezi 20, wenye kipengele cha kuuongeza, Shirikisho la Sok…
April 29, 2015Yanga wametawazwa kuwa mabingwa wa soka wa Tanzania baada ya kufikisha pointi 56 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Yanga ambao wamecheza mechi 24 wametwaa ubingwa huo baada…
April 28, 2015Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF Jamal Malinzi ameunga mkono kauli iliyotolewa jana na Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (COSAFA) kupinga ubaguziwa utu na vurugu z…
April 19, 2015*Ujerumani namba moja, Hispania ya nane Maumivu ya kufanya vibaya kwenye fainali za Kombe la Dunia yameanza kuisumbua England, ambapo imeanguka hadi nafasi ya 20 kwa viwango vipya vya ubora wa soka vili…
July 17, 2014*Algeria watolewa kwa taabu na Ujerumani Timu ya Taifa ya Nigeria imefuata nyayo za wenzao waliopata kugoma kwa kufungishwa virago na Ufaransa. Mabingwa hao wa Afrika waliingia katika mtego mbaya wa ku…
June 30, 2014APPRAISING standard of soccer, of the first match of every team, displayed in South Africa by the African teams competing in the current AFCON tournament , I have come up with two or three observati…
January 25, 2013IT irks me a great deal for us Africans to be persons who have talents but who fail to plan things scientifically. Admittedly, if we Africans had, in many aspects, rational thinking proportional to our tal…
January 19, 2013The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.