in

PSPF yatoa msaada wa tani 3 za saruji

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akipena mikono na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam, Elvis Bwahama, wakati akikabidhi msaada wa mifuko ya sarufi tani 3 na mabati, kwa ajili ya ujenzi kwenye kituo cha kulea watoto walio katika mazingura magumu, cha Lukema. Hafla ya kukabidhin msaada huo kwa kituo hichomnkinacholea watoto 70, ilifanyika Ijumaa Machi 6, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wan kituo hicho, Fatuma Ramadhani.

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa saruji na mabati kwa ajili ya upanuzi wa kituo cha kulea watoto walio katika mazingira magumu cha Lukema, kilichoko Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 6, 2015.

image

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (aliyechuchumaa katika), na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Vingungjuti-Butiama jijini Dar es Salaam, Elvis Bwahame, (aliyesimama kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto hao.

image

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam, Elvis Bwahame, (kushoto), akizungumza wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano. Kulia ni mkurugenzi wa kituo, Lukondo Mchundo.

Baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho wakisubiri kukabidhiwa msaada huo
Fatuma Ramadhani
Mwenyekiti wa Kituo cha kulea watoto walio katika mazingira magumu cha Lukema, kilichoko Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam, Fatuma Ramadhani, akizungumza kwenye hafla ya kupokea msaada wa saruji na mabati vilivyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya ujenzi.

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akiteta jambo na mmoja wa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha kulea watoto walio katika mazingura magumu cha Lukema, kilichoko Vingunguti-Butiama jijini Dar es Salaam Ijumaa Machi 6, 2015. Mfuko huo umetoa msaada wa saruji na mabati kwa ajili ya kupanua ujenzi wa kituo hicho kinacholea watoto 70 kwa sasa

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

Aston Villa nusu fainali Kombe la FA

WELBECK AIMALIZA MAN UNITED