Naziangalia timu za EPL kwa ufupi..

LIGI Kuu ya England (EPL) imeanza. Klabu watapanda walichovuna.
Japokuwa usajili wa wachezaji wazuri si kujihakikishia ushindi kwenye
mechi nyingi, ukweli ni kwamba ndio msingi imara wa timu. Naziangalia baadhi ya timu zinazoshiriki kwa ufupi kabisa, huku nikizipanga nne bora.

Comments