Fainali za mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika zinatarajiwa kufanyika nchini Cameroon ifikapo Januari hadi Februari mwaka 2022. Zimesali siku chache kabla ya...
Makocha wanaomiminika kuzinoa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara wamekuwa wakipanda sifa siku hadi siku. Wengi wao ni wale ambao wamekuwa wakitafuta fursa ya...