Mbao FC iliwahi kuwa na mshambuliaji hatari sana aliyewahi kuitwa Habib Kiyombo, Habib Kiyombo ambaye kuna nyakati tuliwahi kusikia kuwa yupo Mamelodi Sundown ya...
Ilikuwa mechi kati ya FC Platnumz na Simba SC iliyochezwa kwenye ardhi ya Robert Mugabe, ardhi ambayo Robert Mugabe na wenzake waliamua kuiita Zimbabwe....
Nilikuwa naitazama Yanga ikihangaika kupata ushindi dhidi ya Kagera Sugar. Walihitaji ushindi kwa sababu mchezo uliopita walipoteza alama mbili dhidi ya Mbeya City.
Hawakutaka...
Simba SC iliwahi kufika robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika mwaka 2003. Kipindi hicho waliingia robo fainali kiume kweli kweli tena kiume...
Mwezi uliopita timu yetu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars walifanikiwa kushiriki michuano ya CHAN. Michuano ambayo iliwapa nafasi ya wao kushika nafasi...