in , , ,

Kuna wachezaji 176 kutoka England, kati ya wachezaji 528 wa EPL

Ligi Kuu ya Mataifa: England bado wanaongoza kwa idadi ya wachezaji ila bado ni ligi ya kimataifa ikiwa na wabelgiji 18 na kiungo kutoka Kenya. Na je unaweza kumtaja Mgambia mmoja?!

*Ufaransa inafuatia ikiwa na wachezaji 37, na kisha Hispania yenye 33,

*Jamuhuri ya Ireland, Scotland na Wales pia zinawakilishwa vyema kwenye Ligi hiyo

*Kuna wachezaji kutoka mataifa 59 wanaocheza EPL.

Inaweza kufahamika kama Ligi Kuu ya England ila ukitazama vikosi vya timu za ligi hiyo utagundua kuwa ni moja kati ya ligi zinazohusisha dunia nzima.

Kwa sababu ingawa England bado ni nchi inayowakilishwa zaidi ndani ya EPL bado kuna wachezaji kutoka kwenye mataifa mengine 58 wanaoleta ladha ya kimataifa kutoka sehemu hizo.

Ufaransa ndio inayoongoza uvamizi huu ikiwa na wachezaji 37 kwenye ligi hiyo na ni Newcastle United iliyo na wengi kati ya hao ambao ni 7.

Hispania ambayo inasemwa kuwa ilikuwa ikiongoza kwa muongo mzima uliopita pengine inashangaza kujua kuwa inatoa wachezaji 33. Arsenal, Chelsea na Manchester United zina sehemu kubwa ya idadi hiyo kila moja ikiwa na wanne.

Wengi kutoka Jamuhuri ya Ireland pia wamo kwenye EPL. Wapo wachezaji 24 kutoka nchi hiyo, Ni Stoke City iliyo na wengi kati ya hao ambao ni watano.

Wanaorusha bendera ya England ni Bournemouth wakati wanaoongoza kwa kupuuzia vipaji vya ndani ni Watford.

Mataifa ya nyumbani pia bado yanachangia vipaji kwenye EPL, Scotland wanao wachezaji 15, Wales 16, na Ireland ya Kaskazini wanao 7.

Timu ambayo ndani yake kuna mataifa mengi yanayowakilishwa ni Watford inayowakilisha nchi 20 na yenye mataifa machache ni Manchester City yenye 9.

advertisement
Advertisement

Nyota wa Kiafrika wamecheza vizuri kwenye michezo minne ya mwanzo ya EPL, na nchi 15 kutoka bara hilo sasa zina uwakilishi kwenye ligi hiyo – ingawa karibu nusu ya wachezaji kutoka Ghana wanatoka kwenye familia moja ambao ni Jordan Ayew na Andre Ayew.

Kuna mataifa machache ambayo huzalisha vipaji vya soka hayamo hata hivyo. Kuondoka kwa Javier Hernzandez kutoka Manchester United kunamaanisha kuwa hakuna Wamexico kwenye EPL. Wakati huo huo Mrusi wa mwisho kuchezea timu ya EPL ni Andrey Arshavin, aliyeondoka Arsenal mwaka 2013.

Mataifa hayo mawili yanaungana na Iran na Honduras na kuwa mataifa manne ambayo hayana mchezaji kwenye EPL kati yaliyoshiriki Kombe la Dunia 2014.

Kikosi cha Watford cha wachezaji 25 kina wachezaji 20 kutoka mataifa tofauti yakiwemo Argentina na Uruguay.

Orodha ya wachezaji imechujwa, kwenye hao 25 kwenye kikosi wamo wachezaji wa chini ya miaka 21 (U21) ambao wamewahi kucheza mchezo wa EPL. Hawakujumuishwa wachezaji waliowahi kucheza mechi za kimataifa za timu za wakubwa ya nchi iliyocheza Kombe la Dunia.

Uhamisho wa wachezaji pia umezingatiwa, ambapo wachezaji walio nje kwa mkopo mbaka 2016 na kuendelea hawakujumuishwa kwenye orodha ya timu zilizowatoa kwa mkopo.

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wote wa EPL, na timu zao:-

ALGERIA (4)

Riyad Mahrez (Leicester City)

Nabil Bentaleb (Tottenham Hostpur)

Essaid Belkalem (Watford)

Adlene Guedioura (Watford)

ARGENTINA (18)

Julian Speroni (Crystal Palace)

Ramiro Funes Mori (Everton)

Leonardo Ulloa (Leicester City)

Sergio Aguero (Manchester City)

Willy Caballero (Manchester City)

Martin Demichelis (Manchester City)

Nicolas Otamendi (Manchester City)

Pablo Zabaleta (Manchester City)

Marcos Rojo (Manchester United)

Sergio Romero (Manchester United)

Fabricio Coloccini (Newcastle United)

Paulo Gazzanigga (Southampton)

Federico Fernandez (Swansea City)

Federico Fazio (Tottenham Hotspur)

Erik Lamela (Tottenham Hotspur)

Claudio Yacob (West Bromwich Albion)

Manuel Lanzini (West Ham United)

Mauro Zarate (West Ham United)

AUSTRALIA (4)

Adam Federici (Bournemouth)

Mile Jedinak (Crystal Palace)

Mark Schwarzer (Leicester City)

Curtis Good (Newcastle United)

AUSTRIA (4)

Christian Fuchs (Leicester City)

Marko Arnautovic (Stoke City)

Kevin Wimmer (Tottenham Hotspur)

Sebastian Prodl (Watford)

BELGIUM (18)

Thibaut Courtois (Chelsea)

Eden Hazard (Chelsea)

Romelu Lukaku (Everton)

Kevin Mirallas (Everton)

Ritchie De Laet (Leicester City)

Christian Benteke (Liverpool)

Divock Origi (Liverpool)

Simon Mignolet (Liverpool)

Kevin De Bruyne (Manchester City)

Vincent Kompany (Manchester City)

Marouane Fellaini (Manchester United)

Vadis Odjidja-Ofoe (Norwich City)

Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur)

Nacer Chadli (Tottenham Hotspur)

Mousa Dembele (Tottenham Hotspur)

Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur)

Sebastian Pocognoli (West Bromwich Albion)

Obbi Oulare (Watford)

BENIN (2)

Rudy Gestede (Aston Villa)

Stephane Sessegnon (Sunderland)

BOSNIA AND HERZEGOVINA (2)

Asmir Begovic (Chelsea)

Muhamed Besic (Everton)

BRAZIL (12)

Gabriel Paulista (Arsenal)

Kenedy (Chelsea)

Oscar (Chelsea)

Ramires (Chelsea)

Willian (Chelsea)

Philippe Coutinho (Liverpool)

Roberto Firmino (Liverpool)

Lucas Leiva (Liverpool)

Fernando (Manchester City)

Fernandinho (Manchester City)

Andreas Pereira (Manchester United)

Heurelho Gomes (Watford)

BURKINA FASO (1)

Bertrand Traore

CAMEROON (4)

Sebastien Bassong (Norwich City)

Clinton N’Jie (Tottenham Hotspur)

Allan Nyom (Watford)

Alex Song (West Ham United)

CANADA (1)

Doneil Henry (West Ham United)

CHILE (1)

Alexis Sanchez (Arsenal)

COLOMBIA (4)

David Ospina (Arsenal)

Carlos Sanchez (Aston Villa)

Radamel Falcao (Chelsea)

Victor Ibarbo (Watford)

COSTA RICA (3)

Joel Campbell (Arsenal)

Bryan Oviedo (Everton)

Cristian Gamboa (West Bromwich Albion)

CROATIA (3)

Andrej Kramaric (Leicester City)

Dejan Lovren (Liverpool)

Nikica Jelavic (West Ham United)

CURACAO (1)

Cuco Martina (Southampton)

CZECH REPUBLIC (3)

Petr Cech (Arsenal)

Tomas Rosicky (Arsenal)

Libor Kozak (Aston Villa)

DENMARK (5)

Jores Okore (Aston Villa)

Kasper Schmeichel (Leicester City)

Jakob Haugaard (Stoke City)

Christian Eriksen (Tottenham Hotspur)

Anders Lindegaard (West Bromwich Albion)

DR CONGO (4)

Yannick Bolasie (Crystal Palace)

Chancel Mbemba (Newcastle United)

Dieumerci Mbokani (Norwich City)

Youssouf Mulumbu (Norwich City)

ECUADOR (4)

Antonio Valencia (Manchester United)

Jefferson Montero (Swansea City)

Juan Carlos Paredes (Watford)

Enner Valencia (West Ham United)

ENGLAND (176)

Calum Chambers (Arsenal)

Kieran Gibbs (Arsenal)

Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal)

Theo Walcott (Arsenal)

Danny Welbeck (Arsenal)

Jack Wilshere (Arsenal)

Gabriel Agbonlahor (Aston Villa)

Mark Bunn (Aston Villa)

Joe Cole (Aston Villa)

Gary Gardner (Aston Villa)

Rushian Hepburn-Murphy (Aston Villa)

Joelon Lescott (Aston Villa)

Micah Richards (Aston Villa)

Kieran Richardson (Aston Villa)

Scott Sinclair (Aston Villa)

Jed Steer (Aston Villa)

Ashley Westwood (Aston Villa)

Ryan Allsop (Bournemouth)

Joe Bennett (Bournemouth)

Steve Cook (Bournemouth)

Charlie Daniels (Bournemouth)

Tommy Elphick (Bournemouth)

Simon Francis (Bournemouth)

Dan Gosling (Bournemouth)

Glenn Murray (Bournemouth)

Marc Pugh (Bournemouth)

Adam Smith (Bournemouth)

Junior Stanislas (Bournemouth)

Andrew Surman (Bournemouth)

Lee Tomlin (Bournemouth)

Callum Wilson (Bournemouth)

Jamal Blackman (Chelsea)

Gary Cahill (Chelsea)

Ruben Loftus-Cheek (Chelsea)

John Swift (Chelsea)

John Terry (Chelsea)

Patrick Bamford (Crystal Palace)

Fraizer Campbell (Crystal Palace)

Scott Dann (Crystal Palace)

Dwight Gayle (Crystal Palace)

Martin Kelly (Crystal Palace)

Alex McCarthy (Crystal Palace)

Jordon Mutch (Crystal Palace)

Jason Puncheon (Crystal Palace)

Joel Ward (Crystal Palace)

Connor Wickham (Crystal Palace)

Wilfried Zaha (Crystal Palace)

Leighton Baines (Everton)

Ross Barkley (Everton)

Gareth Barry (Everton)

Tyias Browning (Everton)

Tom Cleverley (Everton)

Brendan Galloway (Everton)

Tony Hibbert (Everton)

Phil Jagielka (Everton)

Aaron Lennon (Everton)

Conor McAleny (Everton)

Leon Osman (Everton)

John Stones (Everton)

Marc Albrighton (Leicester City)

Danny Drinkwater (Leicester City)

Nathan Dyer (Leicester City)

Dean Hammond (Leicester City)

Matty James (Leicester City)

Danny Simpson (Leicester City)

Jamie Vardy (Leicester City)

Nathaniel Clyne (Liverpool)

Jon Flanagan (Liverpool)

Joe Gomez (Liverpool)

Jordan Henderson (Liverpool)

Jordon Ibe (Liverpool)

Danny Ings (Liverpool)

Adam Lallana (Liverpool)

James Milner (Liverpool)

Jordan Rossiter (Liverpool)

Jerome Sinclair (Liverpool)

Daniel Sturridge (Liverpool)

Fabian Delph (Manchester City)

Joe Hart (Manchester City)

Raheem Sterling (Manchester City)

Richard Wright (Manchester City)

Michael Carrick (Manchester United)

Sam Johnstone (Manchester United)

Phil Jones (Manchester United)

Jesse Lingard (Manchester United)

Nick Powell (Manchester United)

Wayne Rooney (Manchester United)

Luke Shaw (Manchester United)

Chris Smalling (Manchester United)

James Wilson (Manchester United)

Ashley Young (Manchester United)

Rolando Aarons (Newcastle United)

Adam Armstrong (Newcastle United)

Gael Bigirimana (Newcastle United)

Karl Darlow (Newcastle United)

Jack Colback (Newcastle United)

Jamaal Lascelles (Newcastle United)

Steven Taylor (Newcastle United)

Mike Williamson (Newcastle United)

Elliott Bennett (Norwich City)

Ryan Bennett (Norwich City)

Lewis Grabban (Norwich City)

Gary Hooper (Norwich City)

Jonny Howson (Norwich City)

Matt Jarvis (Norwich City)

Cameron Jerome (Norwich City)

Jake Kean (Norwich City)

Gary O’Neil (Norwich City)

Nathan Redmond (Norwich City)

Declan Rudd (Norwich City)

John Ruddy (Norwich City)

Andre Wisdom (Norwich City)

Ryan Bertrand (Southampton)

Steven Caulker (Southampton)

Kelvin Davis (Southampton)

Fraser Forster (Southampton)

Sam Gallagher (Southampton)

Dominic Gape (Southampton)

Jake Hesketh (Southampton)

Jason McCarthy (Southampton)

Harrison Reed (Southampton)

Jay Rodriguez (Southampton)

Ryan Seager (Southampton)

Matt Targett (Southampton)

James Ward-Prowse (Southampton)

Jack Butland (Stoke City)

Peter Crouch (Stoke City)

Glen Johnson (Stoke City)

Ryan Shawcross (Stoke City)

Ollie Shenton (Stoke City)

Steve Sidwell (Stoke City)

Wes Brown (Sunderland)

Will Buckley (Sunderland)

Lee Cattermole (Sunderland)

Jermain Defoe (Sunderland)

Danny Graham (Sunderland)

Adam Johnson (Sunderland)

Billy Jones (Sunderland)

Jack Rodwell (Sunderland)

Duncan Watmore (Sunderland)

Kyle Bartley (Swansea City)

Leon Britton (Swansea City)

Jack Cork (Swansea City)

Matt Grimes (Swansea City)

Lee Lucas (Swansea City)

Kyle Naughton (Swansea City)

Wayne Routledge (Swansea City)

Jonjo Shelvey (Swansea City)

Delle Alli (Tottenham Hotspur)

Tom Carroll (Tottenham Hotspur)

Eric Dier (Tottenham Hotspur)

Harry Kane (Tottenham Hotspur)

Ryan Mason (Tottenham Hotspur)

Alex Pritchard (Tottenham Hotspur)

Danny Rose (Tottenham Hotspur)

Andros Townsend (Tottenham Hotspur)

Kieran Trippier (Tottenham Hotspur)

Kyle Walker (Tottenham Hotspur)

Troy Deeney (Watford)

Lloyd Dyer (Watford)

Ben Watson (Watford)

Saido Berahino (West Bromwich Albion)

Craig Dawson (West Bromwich Albion)

Ben Foster (West Bromwich Albion)

Craig Gardner (West Bromwich Albion)

Rickie Lambert (West Bromwich Albion)

Callum McManaman (West Bromwich Albion)

Michail Antonio (West Ham United)

Reece Burke (West Ham United)

Andy Carroll (West Ham United)

Aaron Cresswell (West Ham United)

Josh Cullen (West Ham United)

Carl Jenkinson (West Ham United)

Elliot Lee (West Ham United)

Mark Noble (West Ham United)

Reece Oxford (West Ham United)

James Tomkins (West Ham United)

FRANCE (37)

Francis Coquelin (Arsenal)

Mathieu Debuchy (Arsenal)

Mathieu Flamini (Arsenal)

Olivier Giroud (Arsenal)

Laurent Koscielny (Arsenal)

Jordan Amavi (Aston Villa)

Charles N’Zogbia (Aston Villa)

Jordan Veretout (Aston Villa)

Sylvain Distin (Bournemouth)

Yann Kermorgant (Bournemouth)

Loic Remy (Chelsea)

Kurt Zouma (Chelsea)

Yohan Cabaye (Crystal Palace)

N’Golo Kante (Leicester City)

Mamadou Sakho (Liverpool)

Gael Clichy (Manchester City)

Eliaquim Mangala (Manchester City)

Samir Nasri (Manchester City)

Bacary Sagna (Manchester City)

Anthony Martial (Manchester United)

Morgan Schneiderlin (Manchester United)

Yoan Gouffran (Newcastle United)

Massadio Haidara (Newcastle United)

Sylvain Marveaux (Newcastle United)

Gabriel Obertan (Newcastle United)

Emmanuel Riviere (Newcastle United)

Moussa Sissoko (Newcastle United)

Florian Thauvin (Newcastle United)

Younes Kaboul (Sunderland)

Mikael Mandron (Sunderland)

Yann M’Vila (Sunderland)

Bafetimbi Gomis (Swansea City)

Franck Tabanou (Swansea City)

Hugo Lloris (Tottenham Hotspur)

Etienne Capoue (Watford)

Morgan Amalfitano (West Ham United)

Dimitri Payet (West Ham United)

GAMBIA (1)

Modou Barrow (Swansea City)

GERMANY (8)

Per Mertesacker (Arsenal)

Mesut Ozil (Arsenal)

Robert Huth (Leicester City)

Emre Can (Liverpool)

Bastian Schweinsteiger (Manchester United)

Philipp Wollscheid (Stoke City)

Gerhard Tremmel (Swansea City)

Serge Gnabry (West Bromwich Albion)

GHANA (5)

Jordan Ayew (Aston Villa)

Christian Atsu (Bournemouth)

Jeff Schlupp (Leicester City)

Andre Ayew (Swansea City)

Abdul Rahman Baba (Chelsea)

GREECE (2)

Charis Mavrias (Sunderland)

Jose Holebas (Watford)

HOLLAND (21)

Leandro Bacuna (Aston Villa)

Daley Blind (Manchester United)

Memphis Depay (Manchester United)

Vurnon Anita (Newcastle United)

Daryl Janmaat (Newcastle United)

Siem de Jong (Newcastle United)

Tim Krul (Newcastle United)

Georginio Wijnaldum (Newcastle United)

Jordy Clasie (Southampton)

Maarten Stekelenburg (Southampton)

Virgil van Dijk (Southampton)

Ibrahim Afellay (Stoke City)

Erik Pieters (Stoke City)

Marco van Ginkel (Stoke City)

Patrick van Aanholt (Sunderland)

Jeremain Lens (Sunderland)

Marvin Emnes (Swansea City)

Kenji Gorre (Swansea City)

Michel Vorm (Tottenham Hotspur)

Nathan Ake (Watford)

Steven Berghuis (Watford)

HUNGARY (1)

Adam Bogdan (Liverpool)

ICELAND (1)

Gylfi Sigurdsson (Swansea City)

ITALY (6)

Graziano Pelle (Southampton)

Fabio Borini (Sunderland)

Vito Mannone (Sunderland)

Matteo Darmian (Manchester United)

Alessandro Diamanti (Watford)

Angelo Ogbonna (West Ham United)

IVORY COAST (6)

Max Gradel (Bournemouth)

Arouna Kone (Everton)

Kolo Toure (Liverpool)

Wilfried Bony (Manchester City)

Yaya Toure (Manchester City)

Cheick Tiote (Newcastle United)

JAMAICA (3)

Adrian Mariappa (Crystal Palace)

Wes Morgan (Leicester City)

Jamar Loza (Norwich City)

JAPAN (2)

Shinji Okazaki (Leicester City)

Maya Yoshida (Southampton)

KENYA (1)

Victor Wanyama (Southampton)

LITHUANIA (1)

Giedrius Arlauskis (Watford)

MALI (2)

Adama Traore (Aston Villa)

Bakary Sako (Crystal Palace)

MOROCCO (1)

Marouane Chamakh (Crystal Palace)

NEW ZEALAND (1)

Winston Reid (West Ham United)

NIGERIA (6)

John Mikel Obi (Chelsea)

Kelechi Iheanacho (Manchester City)

Peter Odemwingie (Stoke City)

Odion Ighalo (Watford)

Victor Anichebe (West Bromwich Albion)

Victor Moses (West Ham United)

NORTHERN IRELAND (7)

Paddy McNair (Manchester United)

Kyle Lafferty (Norwich City)

Steven Davis (Southampton)

Craig Cathcart (Watford)

Chris Brunt (West Bromwich Albion)

Jonny Evans (West Bromwich Albion)

Gareth McAuley (West Bromwich Albion)

NORWAY (3)

Josh King (Bournemouth)

Brede Hangeland (Crystal Palace)

Alex Tetty (Norwich City)

POLAND (3)

Artur Boruc (Bournemouth)

Marcin Wasilewski (Leicester City)

Lukasz Fabianski (Swansea City)

PORTUGAL (5)

Tiago Ilori (Aston Villa)

Joao Teixeira (Liverpool)

Jose Fonte (Southampton)

Cedric Soares (Southampton)

Eder (Swansea City)

REPUBLIC OF IRELAND (24)

Ciaran Clark (Aston Villa)

Jack Grealish (Aston Villa)

Harry Arter (Bournemouth)

Eunan O’Kane (Bournemouth)

Damien Delaney (Crystal Palace)

Seamus Coleman (Everton)

Darron Gibson (Everton)

James McCarthy (Everton)

Aiden McGeady (Everton)

Rob Elliot (Newcastle United)

Robbie Brady (Norwich City)

Wes Hoolahan (Norwich City)

Shane Long (Southampton)

Shay Given (Stoke City)

Stephen Ireland (Stoke City)

Jon Walters (Stoke City)

Glenn Whelan (Stoke City)

Marc Wilson (Stoke City)

John O’Shea (Sunderland)

Rene Gilmartin (Watford)

Connor Smith (Watford)

James McClean (West Bromwich Albion)

Joey O’Brien (West Ham United)

Darren Randolph (West Ham United)

ROMANIA (2)

Florin Gardos (Southampton)

Costel Pantilimon (Sunderland)

SCOTLAND (15)

Alan Hutton (Aston Villa)

Matt Ritchie (Bournemouth)

James McArthur (Crystal Palace)

Steven Naismith (Everton)

Graham Dorrans (Norwich City)

Russell Martin (Norwich City)

Steven Whittaker (Norwich City)

Phil Bardsley (Stoke City)

Charlie Adam (Stoke City)

Liam Bridcutt (Sunderland)

Steven Fletcher (Sunderland)

Jay Fulton (Swansea City)

Ikechi Anya (Watford)

Darren Fletcher (West Bromwich Albion)

James Morrison (West Bromwich Albion)

SENEGAL (8)

Idrissa Gueye (Aston Villa)

Papy Djilobodji (Chelsea)

Pape Souare (Crystal Palace)

Papiss Cisse (Newcastle United)

Sadio Mane (Southampton)

Mame Diouf (Stoke City)

Cheikhou Kouyate (West Ham United)

Diafra Sakho (West Ham United)

SERBIA (6)

Branislav Ivanovic (Chelsea)

Nemanja Matic (Chelsea)

Aleksandar Kolarov (Manchester City)

Aleksandar Mitrovic (Newcastle United)

Dusan Tadic (Southampton)

Milos Veljkovic (Tottenham Hotspur)

SLOVAKIA (1)

Martin Skrtel (Liverpool)

SOUTH AFRICA (2)

Tokelo Rantie (Bournemouth)

Steven Pienaar (Everton)

SOUTH KOREA (3)

Lee Chung-yong (Crystal Palace)

Ki Sung-yueng (Swansea City)

Son Heung-min (Tottenham Hotspur)

SPAIN (33)

Mikel Arteta (Arsenal)

Hector Bellerin (Arsenal)

Santi Cazorla (Arsenal)

Nacho Monreal (Arsenal)

Jose Crespo (Aston Villa)

Carles Gil (Aston Villa)

Adama Traore (Aston Villa)

Cesar Azpilicueta (Chelsea)

Diego Costa (Chelsea)

Cesc Fabregas (Chelsea)

Pedro (Chelsea)

Gerard Deulofeu (Everton)

Joel Robles (Everton)

Jose Enrique (Liverpool)

Alberto Moreno (Liverpool)

Jesus Navas (Manchester City)

David Silva (Manchester City)

David de Gea (Manchester United)

Ander Herrera (Manchester United)

Juan Mata (Manchester United)

Victor Valdes (Manchester United)

Ayoze Perez (Newcastle United)

Juanmi (Southampton)

Oriol Romeu (Southampton)

Bojan Krkic (Stoke City)

Joselu (Stoke City)

Marc Muniesa (Stoke City)

Jordi Gomez (Sunderland)

Jordi Amat (Swansea City)

Angel Rangel (Swansea City)

Jose Jurado (Watford)

Adrian (West Ham United)

Pedro Obiang (West Ham United)

SWEDEN (5)

Martin Olsson (Norwich City)

Sebastian Larsson (Sunderland)

Ola Toivonen (Sunderland)

Kristoffer Nordfeldt (Swansea City)

Jonas Olsson (West Bromwich Albion)

SWITZERLAND (5)

Gokhan Inler (Leicester City)

Xherdan Shaqiri (Stoke City)

Almen Abdi (Watford)

Valon Behrami (Watford)

Raphael Spiegel (West Ham United)

TUNISIA (1)

Yohan Benalouane (Leicester City)

UNITED STATES (4)

Brad Guzan (Aston Villa)

Tim Howard (Everton)

Geoff Cameron (Stoke City)

DeAndre Yedlin (Sunderland)

URUGUAY (6)

Leandro Rodriguez (Everton)

Guillermo Varela (Manchester United)

Gaston Ramirez (Southampton)

Sebastian Coates (Sunderland)

Miguel Britos (Watford)

Diego Poyet (West Ham United)

VENEZUELA (1)

Salomon Rondon

WALES (16

Aaron Ramsey (Arsenal)

Shuan MacDonald (Bournemouth)

Wayne Hennessey (Crystal Palace)

Joe Ledley (Crystal Palace)

Andy King (Leicester City)

Joe Allen (Liverpool)

Paul Dummett (Newcastle United)

Lloyd Isgrove (Southampton)

Adam Matthews (Sunderland)

Daniel Alfei (Swansea City)

Neil Taylor (Swansea City)

Ashley Williams (Swansea City)

Ben Davies (Tottenham Hotspur)

James Chester (West Bromwich Albion)

Boaz Myhill (West Bromwich Albion)

James Collins (West Ham United)

 

 

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote
Tanzania Sports

HUENDA BALE ANAONYESHA THAMANI YAKE

Tanzania Sports

BAADA YA WAYNE ROONEY HAWA WATAFUATA