Ole: Man United itawasha
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjær amesema licha ya wachezaji wake kuanza wakiwa ‘wamepoa’ msimu huu, ana imani kwamba…
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjær amesema licha ya wachezaji wake kuanza wakiwa ‘wamepoa’ msimu huu, ana imani kwamba…
*Chelsea, Man U bado mdororo *Jua tetesi za usajili wa Ulaya Mzunguko wan ne wa Ligi Kuu ya England (EPL)…
Yohana Nkomola, ni moja ya jina ambalo lilikuwa linatajwa sana wakati tunaelekea Gabon kushiriki fainali za Afcon ya vijana ya umri wa miaka 17. Lilikuwa linatajwa sana siyo kwa sababu tu alikuwa mcheza…
May 2, 2019Moja ya ratiba ambazo nilikuwa naziona ngumu kwa Simba ni yeye kwenda kucheza katika viwanja vya kanda ya Ziwa. Hii ndiyo ratiba ngumu sana ambayo nilikuwa naitazama kwangu mimi. Ugumu wa ratiba hii hauk…
April 28, 2019Dunia yake ilijengwa na udongo wa kutokata tamaa, udongo ambao ulichanganywa na maji ya kupambana kwa nguvu. Mchanganyiko huu ndiyo ulioumba kiumbe kimoja kifupi. Kiumbe kipambanaji kweli, na kiumbe…
April 27, 2019Miaka zaidi ya 80. Ndiyo umri halisi wa Yanga. Umri ambao ni mkubwa sana. Umri ambao wasingetakiwa kuwepo hapo walipo kwa sasa. Hili tumeshaliongea sana, tumelipigia kelele sana na inawezekana lishaan…
Manchester United mpaka sasa hivi inapambana kuchukua nafasi nne za juu ili ipate nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao. Lakini timu inaonekana kuwa na mwenendo wa kusua sua sana. Ku…
April 23, 2019Hii ni fedheha, ndicho kitu ambacho tunaweza kukuita baada ya matokeo ya Serengeti Boys katika michuano ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17 ya Afrika. Timu ambayo watu wengi walikuwa na matumaini na…
April 21, 2019FAINALI ZA AINA YAKE Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) msimu huu imekuwa ya aina yake, ambapo wababe wanne waliobaki huko ni Barcelona, Liverpool, Tottenham Hotspur na Ajax. Wawili wa mwisho hawakupewa nafa…
April 19, 2019Wakati naangalia mechi ya juzi kati ya Manchester United na Barcelona kitu pekee ambacho kilikuwa kinakuja kwenye kichwa changu ni fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati ya Barcelona na Arsenal.…
April 12, 2019Ulimwengu ambao watu wengi waliudharau. Hawakutaka kabisa kuukubali kama ndiyo sehemu sahihi kwao wao kuishi. Ulimwengu ambao watu wengi hawakutaka kabisa kuuweka karibu na macho yao. Utawekaje kar…
March 31, 2019Hawezi kuonekana kama shujaa kwa wengi kwenye hii furaha ambayo tuko nayo kwa sasa sisi Watanzania ndani ya mioyo yetu. Ushajaa wake utakuja wapi wakati asilimia kubwa ya watu hawamkubali sana? Asilimi…
March 25, 2019Wakati natazama “draw” ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika kuna kitu ambacho kilikuwa kinazunguka sana kichwani mwangu. Ni timu ipi itapangiwa na Simba?. Hili ndilo swali ku…
March 23, 2019Tangu mwaka 1996 Juventus hawajashinda ligi ya mabingwa barani ulaya, na wakati Jana wanaingia kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Stadium, walikuwa hawana matumaini makubwa. Walikuwa nyuma ya m…
March 14, 2019Moja ya kosa kubwa ambalo wengi huwa tunalifanya ni pale tunapojisahau na kuamini kuwa furaha zetu hutegemea kitu/mtu. Yani bila mtu/kitu fulani ni ngumu kwetu sisi kupata furaha. Hapo ndipo hatua ya kw…
March 13, 2019Jana kocha wa muda wa Manchester United, Ole Gunnar alipokea kipigo chake cha kwanza katika michuano ya ligi kuu ya England. Arsenal waliifunga Manchester United katika uwanja wao wa nyumbani, Emirate…
March 12, 2019