NMB yatoa msaada wa vifaa vya michezo…

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (pili kulia) akimkabidhi Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda(pili kushoto) msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh milioni 10/- kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindano ya kuwania Kombe la Meya wa Kinondoni ‘Kinondoni Mayor Cup 2012″ katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Wakishuhudia ni Naibu Meya kinondoni Songoro Mnyonge(Kushoto) na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mashindano hayo Sharif Maji.

Posted under:  

Tags:  

Comments