Martin wrote a new post
• 6 minutes agoRead MoreHapa ndipo tatizo linapoanzia kwake yeye mpaka sasa hivi Bernard Morrison anashiriki michuano miwili msimu huu. Mchuano wa kwanza ni ule ambao klabu yake ya Simba SC inashiriki. Simba SC mpaka sasa hivi inashiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani...
Martin wrote a new post
• 13 minutes agoRead MoreKwanza tunatakiwa kuwapa pongezi kubwa timu ya Taifa ya Tanzania kuanzia wachezaji wote mpaka benchi la ufundi. Kwa kiasi kikubwa wamejituma kwenye michuano hii na walionesha nia kubwa ya wao kuingia robo fainali. Mpaka dakika ya 80 harufu ya robo...
Israel Saria wrote a new post
Read MoreWakati mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN yakiendelea sasa nchini Cameron upo utani ambao unaumiza akili za mashabiki wa wengi. Baadhi ya mashabiki wanachukulia kama utani wa mpira wa miguu lakini umekuwa...
Martin wrote a new post
Read MoreHata wadhamini ambao wanawadhamini Simba SC walipata nafasi kubwa ya kuonekana kutokana na Simba SC kuzungumziwa sana kwa kipindi cha wiki nzima. Wiki mpya imeanza, wiki ambayo inatupa nafasi ya kuisahau wiki iliyopita. Kuna mengi yametokea wiki iliyopita lakini moja...
- Load More Posts
Martin wrote a new post
Martin wrote a new post
Israel Saria wrote a new post
Martin wrote a new post
Martin wrote a new post
- Load More Posts