PSPF yatoa msaada wa viti

Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, akipeana mikono na Mkuu wa Kituo cha Walimu, Mbagala, Bi.Fausta B.Luoga, wakati akimkabidhi msaada wa viti kwenye kituo hicho jijini Dar es Salaam leo Januari 29, 2016. Kituo hicho kinatumiwa na Walimu zaidi ya 1500, na wanafunzi 55. Wanaoshuhudia ni Afisa Masoko na Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani (wapili kushoto) na Balozi wa Mfuko huo, Bw. Mrisho Mpoto.

——————————————————————————————————————————————————

hotubaMeneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem(aliyesimama), akitoa hotuba yake muda mfupi kabla ya kukabidhi msaada huo wa viti. Wengine kutoka kushoto, ni mkuu wa kituo hicho Bi. Fausta B.Luoga, mwakilishi wa Afisa Elimu wa Wilaya ya Temeke, Bw.Gasper Ltimo, na Balozi Mpoto.

Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko huo, wakiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko huo, wakiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala

——————————————————————————————————————————————————————–

Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi kwenye hafla hiyo.
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, akisalimiana na baadhi ya wanafunzi kwenye hafla hiyo.

Comments