NI Mbwana Samatta

Hongera sana, ‪MbwanaSamatta‬, ushindi wako uwe chachu kwa vijana wengine ‪#Tanzania‬, umeonyesha njia, ni jukumu la viongozi wetu na taasisi za michezo kukutumia, kuwa chambo cha kuvua vipaji zaidi, ili tuwapate akina ‪‎Samatta‬ wengi.Hongera sana…..

Comments