Rais Jakaya Kikwete afungua majengo pacha ya PSPF

Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (wapili kulia), naibu waziri wa fedha, Adam Malima, (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, (wakwanza kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, George Yambesi, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (wakwanza kushoto), katika picha ya pamoja kamati ya maandalizi ya sherehe za ufunguzi wa majengo pacha ya PSPF, jijini Dar es Salaam

———————————————————————————————————————————————————————————-

BI Rais akipokea picha ya majengo pacha kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini

Rais Jakaya Kikwete, akipokea picha ya majengo pacha kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini

Tukio la Rais kujiunga na Mpango huo lilikwenda sambamba na uzinduzi wa majengo pacha ya kitegauchumi ya Mfuko, kwenye barabara ya Sokoine jijini Dar es Salaam leo Jumatano Septemba 16, 2015. Majengo hayo yenye ghorofa 35 yamegharimu kiasi c ha shilingi Bilioni 139.2

 

————————————————————————————————————————————————————————–

RAIS Jakaya Kikwete, (kulia), akipokea mfano wa kadi ya kujiunga na Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi.
RAIS Jakaya Kikwete, (kulia), akipokea mfano wa kadi ya kujiunga na Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi, huku Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akishuhudia

————————————————————————————————————————————————————————–

advertisement
Advertisement

 

Comments