VIONGOZI WAMIMINIKA BANDA LA PSPF, WAVUTIWA NA HUDUMA ZA MFUKO

pmm
Mheshimiwa Mizengo Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimpongeza mmoja wa wanachama wapya wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (kushoto) alipotembelea banda Mfuko wa Pensheni wa PSPF katika maonesho yanayoendelea ya 39 ya kimataifa ya Dar es Salaam. Wengi waliotembelea mabanda ya PSPF walijiunga na Mpango huu.
——————————————————————————————-

03
Mheshimiwa Shaaban Lila Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, akimsikiliza kwa makini Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi.Rahma Ngassa alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
——————————————————————————

kk
Mheshimiwa Ombeni Sefue, katibu Mkuu Kiongozi akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
———————————————————————

05
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

———————————————————————————

04Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Matilida Nyalu akitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

—————————————————————————————————————

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Magira Werema akitoa maelezo wa wateja waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Magira Werema akitoa maelezo wa wateja waliotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Comments