MHE PINDA ATEMBELEA PSPF

*KAFURAHISHWA JINSI RAIA WALIVYOHAMASIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

1pindaWaziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (katikati) na Gasper Lyimo jana alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Pinda alifurahishwa na juhudi za PSPF za kuhakikisha idadi kubwa ya watanzania wanaingia katika hifadhi ya jamii.
——————————————————————————————————————————

pspf2Mhandisi Alli Shanjirwa akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliotembelea katika banda ya PSPF katika maonesho yanayoendelea katika viwanja vya maonesho ya biashara vya kimataifa vya Mwalimu Nyerere.
——————————————————————————————————————————–

Pspf4Maafisa wa PSPF Rahma Ngassa (kushoto) na Colleta Mnyamani wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya kamataifa ya Dar es Salaam, yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
——————————————————————————————————————————

5.pspfMaafisa wa wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya kamataifa ya Dar es Salaam, yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Posted under:  All Articles, Featured, Pspf

Tags:  , ,

Comments