YANGA YAIBAMIZA MBEYA CITY.

Simba yalala Shinyanga…

Timu ya Yanga imeendlea kujikita kileleni baada ya kuifunga Mbeya city 3-1 katika uwanja wa Kumbukumbu wa sokoine jijini Mbeya.
Magoli ya Yanga Yalifungwa na Simon Msuva katika dakika ya 18 ya Kipindi cha Kwanza.Huku goli la pili likifungwa na Mrisho Ngasa katika dakika ya 59 na Hamisi Tambwe akifunga goli la tatu katika dakika ya 80.

Huku goli Pekee la Mbeya city likifungwa James Kaseke katika dk ya 68.

Katika dimba la Kambarage Mkoani shinyanga,Stand United imemfunga Simba Goli 1-0.Goli la stand united Fc ilipatikana Katika dakika ya 7 mfungaji akiwa Ezekiel Edward.
Nayo Mwadui FC ya shinyanga Imepata ubingwa wa Ujumla wa ligi daraja La Kwanza,Baada ya Kumfunga African sports 1-0.goli la Mwadui fc lilifungwa na Kelvin Sabato.
Mwadui fc itapumzika Miezi 3 kuanzia leo kwajili ya wachezaji Kupumzika na Timu hiyo kuweza kufanya usajili kwajili ya Ligi kuu mwezi Agosti Mwaka huu.

Timu ya Yanga imeendlea kujikita kileleni baada ya kuifunga Mbeya city 3-1 katika uwanja wa Kumbukumbu wa sokoine jijini Mbeya.
Magoli ya Yanga Yalifungwa na Simon Msuva katika dakika ya 18 ya Kipindi cha Kwanza.huku goli la pili likifungwa na Mrisho Ngasa katika dakika ya 59 na Hamisi Tambwe akifunga goli la tatu katika dakika ya 80.

Comments