Waziri Mkuu, Mizengo Pinda azindua huduma mpya PSPF ni ‘Fao la Uzazi’

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa

PINDA3

Waziri mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), naibu waziri wa fedha, Adam Malima, (Kulia), Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, George Yambesi, (wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, (watatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakiangalia picha ya mama na motto ikiwa ni alama ya juzinduzi wa fao jipya lla uzazi litakalokuwa likitolewa na mfuko huo. Tukio hili lilikuwa mwanzoni mwa mkutano mkuu wan ne wa wanachama na wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma jana.

mv

Waziri mkuu Mizengo Pinda, akimpongeza Zainab Khalid, mmoja kati ya wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, aliyefaidika na mkopo wa elimu ambapo sasa anasoma chuo kikuu Huria jijini Dar es Salaam. Tukio hilo lilikuwa sehemu ya ufunghuzi wa mkutano mkuu wan ne wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma Jumatano Februari 18, 2015

Wajumbe wa bodi
PINDA44

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, waliopita na wa sasa, wakipiga makofi wakati waziri mkuu Mizengo Pinda, wakati akifungua mkutano mkuu wa Nne wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma, Jumatano Februari 18, 2015

Pinda_Mayingu_Yambesi
YEMBESI

Waziri mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipeana mikono na Mkurugen zi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, huku Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, George Yambesi, (Kulia), na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa wakishuhudia, wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa 4 wa wanachama na wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma, Jumatano Feb 18, 2015

Comments