CHILE WAWALIZA AUSTRALIA

 

Katika matokeo ya mechi ya usiku wa Ijumaa hii, Chile waliwaliza Australia kwa kuwafunga mabao  3-1.

ushindi wa Chile uliokuja baada ya Uholanzi kuwafunga Hispania 5-1 kwenye mechi ya awali umewatupa mabingwa watetezi Hispania katika nafasi ya mwisho.
Itabidi waamke katika mechi zinazofuata iwapo watataka kurejesha heshima yao na kufuzu kwa hatua za mtoano.

Comments