Ronaldo bora duniani kote

MZIZI wa fitna umekatwa, ambapo Cristiano Ronaldo ameibuka kuwa mwanasoka bora wa dunia.

Mcheazaji huyo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno aliyepata kuichezea Manchester United kwa mafanikio emefurahia kupata tuzo hiyo kubwa.

Wengine waliokuwa wakihusishwa na kushindana naye kwenye tuzo hiyo ni aliyekuwa akiishikilia, Mwargentina Lionel Messi na Mjeruani Frank Ribery.

Ronaldo amabye pia ni nahodha wa timu ya taifa lake amefurahi jinsi alivyowazidi mahasimu wake,

Lionel Messi wa Barcelona na Franck Ribery wa Bayern Munich na sasa anatamba kwa jina jipya Ballon d’Or wa Fifa.
Utaratibu wa kuwapata wachezaji bora ni mgumu, unakanganya kutegemea na kama wapambe wanataka nchi zao au timu wanazopambia ziende.

Comments