Picha za matukio ya Emirates Stadium

Kila mwaka huwa kuna Tamasha la Emirates, linalofanyika katika uwanja wa nyumbani wa Emirates, ambao ni uwanja wa timu ya Arsenal, mwaka huu nilipata bahati ya kuhudhuria pamoja na marafiki.

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments