Uwanjani Emirates siku za mechi za Arsenal..vituko

Sehemu ninayoishi na kufanyia kazi hapa London, ni karibu sana na Uwanja wa Arsenal, kwa hiyo siku za mechi za nyumbani kwa Arsenal huwa nashuhudia kila aina ya vituko, burudani, na maudhi….

Comments