Anfield Tour, nyumbani kwa Liverpool FC

Bahati kubwa niliyopata maishani ni nafasi ya kutembea, na kutembea ni kujifunza, safari za viwanjani zinapendeza sana, na pia zinakupa nafasi ya kuelewa jinsi watu wa utamaduni tofauti wanavyoweza kufanya kazi zao kwa usawa kabisa, hapa nina maana mfanyakazi wa uwanja wa Jamhuri Dodoma, anafanya kazi zake kama mfanyakazi wa Uwanja wa Arsenal..tofauti ni vitendea kazi tu…

Posted under:  Liverpool, Sport

Tags:  

Comments