Ziara ya Heysel Stadium, Ubelgiji

Katika kukua kwangu kimichezo, nakumbuka sana janga lililotea Heysel stadium kati ya mashabiki wa Juventus na Liverpool katika fainali ya kombe la ubingwa wa ulaya nchini Ubelgiji, hatika taflani hiyo mashabiki kwa uchache wao, walipoteza maisha na wengine kuachwa na majeraha ya kudumu. nilikwenda kuona uwanja na kumbukumbu pia.

Comments