Kumbukumbu ya Kombe la Dunia Afrika Kusini 2010

Mwaka 2010, ulikuwa ni mwaka muhimu sana katika historia ya soka Duniani, Bara la afrika kupitia Nchi ya Afrika Kusini( South Africa) iliweza kuwa mwenyeji wa fainali hizo muhimu sana, kwa bahati nzuri na asante sana kwa BBC Idhaa ya Kiswahili, nilikuwa mmoja wa mashuhuda wa fainali hizo. Hapa ni baadhi ya picha nilizozipata nikiwa huko.

Comments