Olympics 2012, London, Watanzania

Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012, Timu ya Tanzania iliwasili jijini London na katika kukaribishwa na wenyeji wao, tulijumuika pamoja na mhe Balozi wetu katika Uingereza Mhe Peter Kallaghe, katika kuwapokea na kuwapa kila aina ya msaada uliotakiwa.pichani ni baadhi ya watu na matukio.

Posted under:  All Articles

Tags:  , ,

Comments