Liverpool Mgahawa…

Siku moja na huku ugenini tutakuja kuona migahawa inaitwa Simba au Katavi, kama ilivyo huko nyumbani kwani karibu kila sehemu ina husishwa na vilabu vikubwa vya ulaya na sehemu nyingine duniani.

Posted by Picasa

Posted under:  All Articles, Liverpool

Tags:  

Comments