Hivi kweli unafikiri nini mpaka unakunya nje ya ofisi za watu..tena ulaya..London!

Leo asubuhi ilikuwa ni zamu yangu kufungua ofisi mapema ili wafanya usafi waanze kazi(6:00am). Cha ajabu ni kukuta KIMBA hili nje ya mlango mkuu wa kuingilia kwa ofisi, nikajiuliza labda ni Ng’ombe au Punda, lakini hapa London mifugo haitembei mitaani kama huko nyumbani..kwa vyovyote vile huyu ni binadamu!, kikubwa zaidi ni ukubwa wa hili kimba yaani inasikitisha sana..lakini habari nzuri aliyefanya hivi ni raia tena sio kama mimi..yaani ustaarabu ni jinsi ulivyojifunza toka kwenu na sio unakoishi!

Posted by Picasa

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments