Hivi unafikiria nini mpaka Kunya mlangoni kwa ofisi za watu?

Leo asubuhi nilitakiwa kufungua ofisi mapema ili wafagiaji waanze usafi na hii ni moja kati ya kazi zangu tatu ninazofanya hapa London.Cha ajabu ni kukutana na hili limavi likubwa mlangoni,Kama tujuavyo huku hakuna Ng’ombe au Punda wanaochunga au kukatiza barabara.moja kwa moja huyu ni binadamu mwenye akili japo kinachonishangaza ni ukubwa Wa hili Limavi.katika kufuatilia ili kujua ni aina gani ya binadamu{CCTV} huwezi amini,hakuwa mmatumbi!.kweli tuko ulaya!

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments