
HATIMAYE WENGER KANG’OKA ARSENAL
Baada ya kukaa miaka 22 katika klabu ya Arsenal, kocha Arsene Wenger leo kupitia ntandao wa klabu ya Arsenal katangaza rasmi kuwa mwishoni mwa msimu huu hatokuwa kocha wa Arsenal tena. Arsene Wenger alic…
5 days agoSign up to the Tanzania Sports newsletter
Baada ya kukaa miaka 22 katika klabu ya Arsenal, kocha Arsene Wenger leo kupitia ntandao wa klabu ya Arsenal katangaza rasmi kuwa mwishoni mwa msimu huu hatokuwa kocha wa Arsenal tena. Arsene Wenger alic…
5 days agoNdani ya miaka mitatu Yanga imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika mara mbili. Miaka hii mitatu ilikuwa na majira yanayotofautiana kabisa. Nyakati za leo kwa Y…
6 days agoWakati Pep Guardiola na Manchester City wakiweka rekodi za maana na kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu huu, Arsene Wenger na Arsenal pia wanaweka rekodi zao. Tofauti iliyopo ni kwamba Manches…
1 week agoKuna mengi yamebadilika sana tangu mwalimu Pierre Lenchantre na Masoud Djuma walipoichukua timu. Wengi wanaweza wakaona mabadiliko ya kimfumo peke yake kutoka timu kucheza 4-4-2 mpaka 3-5-2 Hiki ndi…
1 week agoMpira ni pesa, hii kauli ina maana kubwa sana ingawa sisi tunaichukulia kawaida kwa sababu tumezoea kuchukulia vitu kawaida katika ukawaida usio wa kawaida. Mpira unatengeneza pesa nyingi sana kama uk…
1 week agoTumaini lilianza kujengeka mioyoni mwetu kwa sababu tuliona kuna kitu kinachoitwa “mbadala” katika mpira wetu. Wengi wetu tumechoka na tunataka kuona mabadiliko makubwa yenye mwanga w…
2 weeks agoMvua ilikata ghafla, manyunyu yakabaki katika anga la klabu Yanga. Dalili ya kwamba mvua ya neema ilikuwa inapotea na kiangazi kukaribia zilianza kuonekana baada ya mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu. Yusu…
2 weeks agoKila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 4…
2 weeks agoWiki iliyopita ilikuwa wiki ngumu sana kwa Pep Guardiola baada ya kupoteza michezo miwili kwa magoli sita (6) jumla, kazi kubwa waliyonayo leo ni wao kuhakikisha wanaifunga Liverpool kuanzia magoli 4-…
2 weeks agoKinara wa mabao wa Ligi Kuu ya England, Mohamed Salah ana uwiano wa bao katika kila dakika 86 za EPL. Yeye ndiye mwenye uwiano mzuri zaidi akifuatiwa na Sergio Aguero anayeshikilia uwiano wa bao moja katik…
2 weeks agoYANGA INAWAZA VIZURI , INATEKELEZA KAWAIDA Tulizoea kupata vitu kutokana na hisani ya mtu ili macho yetu yaweze kushuhudia jua likizama na kukaribisha giza. Maisha yetu yalikuwa yanamtegemea mtu kutu…
2 weeks agoYanga waliingia na mfumo wa 4-4-2 Diamond wakati Wallayta Dicha walikuwa wanacheza mfumo wa 4-4-2 Lakini pamoja na kwamba Yanga kwenye karatasi ilionekana wanacheza 4-4-2 Diamond, uwanjani walionek…
3 weeks agoClick below to start your search
Subscribe to Tanzania Sports and receive all the latest sports news directly to your mailbox, don’t worry we will only send you mail that you will find interesting.
Read more about usJoin our mailing list to receive the latest news and updates from our team.
Comments