
Paul Godfrey katusahaulisha Juma Abdul
Mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania mara mbili mfululizo. Ukisikia hiki cheo kitu kinachokuja kwenye akili yako ni mshambuliaji. Hawa ndiyo tumezoea kuwaona wakichukua sana hizi tunzo. Wametufanya…
6 days agoSign up to the Tanzania Sports newsletter
Mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania mara mbili mfululizo. Ukisikia hiki cheo kitu kinachokuja kwenye akili yako ni mshambuliaji. Hawa ndiyo tumezoea kuwaona wakichukua sana hizi tunzo. Wametufanya…
6 days ago1: Hapana shaka ule wimbo wa “U-underdog” wa Simba kwenye mechi za ligi ya mabingwa barani Afrika unahamia kwa Yanga Leo. Hii inaweza silaha kwa Yanga kumuua Simba anayejiamini zaidi. 2: Me…
7 days agoENGLAND imempoteza mtu aliyekuwa golikipa wao hodari zaidi katika historia na aliyepata kuokoa mabao ya wazi kuliko wengine, Gordon Banks. Mchezaji huyu aliyetwaa Kombe la Dunia na England 1966, amea…
1 week agoHakuna furaha kama kuupanda mlima ambao huonekana mrefu kwa wengi. Ushujaa hujaa ndani yako pale unapofika ƙkatika kilele cha mlima huo. Inawezekana kabisa ushindi wa Simba wa jana ulikuwa kama kupan…
1 week agoHakuna lugha sahihi ambayo inaweza ikakupa rangi sahihi ya tabia ya kitu Fulani. Ndiyo maana waswahili wanaamini kutokuamini kwenye kila kitu ambacho macho na masikio yanachosikia. Kuna wakati kabis…
2 weeks agoHistoria inanionesha ukurusa mzuri na wenye kuvutia kwenye vitabu vya hawa watu wawili ambao hawakupewa nafasi kubwa. Watu ambao wametoka kwenye ardhi ambazo zina mchanga wenye damu inayoitwa mpira w…
3 weeks agoKuna kila dalili ya wingu jeusi kutanda kwenye ardhi ya Msimbazi. Ardhi ambayo imepambwa na udongo mwekundu na mweupe. Ardhi ambayo inamiliki timu kubwa sana hapa nchini, timu ambayo ina mashabiki weng…
4 weeks ago“Kiyumbi tuendelee kutazama mechi ya Mbao”. Haya yalikuwa maneno ya rafiki yangu ambaye alikuwa ananisihi niendelee kukaa kwa ajili ya mechi ya Mbao. Mechi ambayo ilikuwa inafuata baada…
4 weeks agoTanzania ni moja ya nchi ya matukio sana, na huwa inaendeshwa na matukio sana. Tena matukio ya ajabu ajabu. Matukio ambayo mara nyingi hututoa kwenye reli ya kujadili vitu vya maana na wengi hujikuta tuna…
4 weeks agoNilikuwa natazama mahojiano ambayo alikuwa anafanya na kituo cha BeinSposrts. Kituo ambacho kwa sasa Jose Mourinho ni mchambuzi. Moja ya vitu vingi alivyoongea , aliongea kitu kimoja ambacho kilinip…
4 weeks agoKuna vitu vingi sana kwa sasa vinatokea katika klabu ya Arsenal, vitu ambavyo mwisho wa siku vinabakiza maswali mengi sana. Najua kwa sasa wako katika kipindi cha mpito, kipindi ambacho kinahusisha mab…
1 month agoMoja ya timu bora barani Afrika ni Al Ahly, ni timu ambayo imedumu kwa muda mrefu ikifanya vizuri kwenye michuano mingi barani Afrika. Wana fainali wa ligi ya mabingwa barani Afrika msimu jana. Moja ya wat…
1 month agoClick below to start your search
Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.
Comments