Unapompiga marufuku waziri wa fedha kuja kwenye Baa yako!


Laughter is the best cosmetic…. so grin and wear it!

Kitu kizuri katika baadhi ya Nchi za Ulaya, ni Demokrasia, mwenye hii baa, ameamua kumpiga marafuku katika baa yake mtu mwenye cheo kama Waziri wa fedha wa Uingereza,hii inafuatia mipango mibovu na matumizi mabaya ya fedha kwa baadhi ya wabunge na mawaziri.

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments