Tanzania na Kombe la Dunia Afrika Kusini 2010


Kombe la dunia linafanyika Afrika kusini ndani ya mwaka mmoja kuanzia sasa, kinachonishangaza ni kuwa Tanzania haitajwi kabisa kuwa mshirika wa Afrika kusini katika maandalizi, huku majirani zetu wa Kenya wako mstari wa mbele, hivi tuna laana?

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments