Huyu babu ameniacha hoi…

___Hatua kwa hatua tutakuwa pamoja BABU.__

Nyumbani Moshi, hii ni hali ya kawaida kila jioni baada ya kazi za shamba na mifugo, kinachofuata ni kukata kiu kwa kiaina aina…….Mbege Mbege…

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments