BBC na fainali za kombe la mataifa ya Afrika!

Kuanzia tarehe 20 Januari 2008, Idhaa ya Kiswahili ya BBC na redio washirika, itakuletea taarifa za fainali za kombe la mataifa ya Afrika zinazofanyika nchini Ghana.

Watangazaji wetu Alex Mureithi na Charles Hilary watakuwa wakileta taarifa za michuano hiyo na pia matangazo ya moja kwa moja kwa mechi za ufunguzi, nusu fainali na fainali.

Ratiba kamili ya mechi za fainali ya kombe la mataifa ya Afrika

Jumapili, 20 Januari 2008 – Ufunguzi
Ghana v Guinea, A, 17:00

———————————————————

Monday, 21 January 2008
Mali v Benin, B, 19:30
Namibia v Morocco, A, 15:00
Nigeria v Ivory Coast, B, 17:00

———————————————————-

Tuesday, 22 January 2008
Egypt v Cameroon, C, 17:00
Sudan v Zambia, C, 19:30

———————————————————

Jumatano, 23 Januari 2008
Afrika Kusini v Angola, D, 19:30
Tunisia v Senegal, D, 17:00

——————————————————–

Alhamisi, 24 Januari 2008
Ghana v Namibia, A, 19:30
Guinea v Morocco, A, 17:00

———————————————————

Ijumaa, 25 Januari 2008
Ivory Coast v Benin, B, 17:00
Nigeria v Mali, B, 19:30

———————————————————

Jumamosi, 26 Januari 2008
Cameroon v Zambia, C, 17:00
Egypt v Sudan, C, 19:30

——————————————————–

Jumapili, 27 Januari 2008
Senegal v Angola, D, 17:00
Tunisia v Afrika Kusini, D, 19:30

——————————————————-

Jumatano, 28 Januari 2008
Ghana v Morocco, A, 17:00
Guinea v Namibia, A, 17:00

——————————————————-

Jumanne, 29 Januari 2008
Ivory Coast v Mali, B, 17:00
Nigeria v Benin, B, 17:00

——————————————————

Jumatano, 30 Januari 2008
Cameroon v Sudan, C, 17:00
Egypt v Zambia, C, 17:00

—————————————————–

Alhamisi, 31 Januari 2008
Senegal v Afrika Kusini D, 17:00
Tunisia v Angola, D, 17:00

—————————————————–

Jumapili, 03 Februari 2008
Mshindi Kundi A v Mshindi wa pili kundi B, Robo Fainali,
Mshindi Kundi B v Mshindi wa pili kundi A, Robo Fainali,

———————————————————————

Jumatatu, 04 Februari 2008
Mshindi Kundi C v Mshindi wa pili kundi D, Robo Fainali,
Mshindi Kundi D v Mshindi Kundi C, Robo Fainali,

———————————————————————-

Alhamisi, 07 Februari 2008
Mshindi Robo Fainali 1 v Mshindi Robo Fainali 4, Nusu Fainali,
Mshindi Robo Fainali 2 v Mshindi 3, Nusu Fainali,

——————————————————————————–

Jumamosi, 09 Februari 2008
Aliyefungwa Nusu Fainali 1 v Aliyeshindwa Nusu Fainali 2, kutafuta mshindi wa tatu na wa nne,

——————————————————————————–

Jumapili, 10 Februari 2008
Mshindi Nusu Fainali 1 v Mshindi Nusu Fainali 2, Final,

Unakaribishwa kututumia ujumbe kwa njia ya simu yaani sms, na kama unahitaji kupigiwa tufahamishe tutafanya hivyo. Nambari yetu ni +44 7786202005.

Matangazo ya mechi za ligi kuu ya soka ya England kila Jumamosi yataendelea kama kawaida.

Posted under:  All Articles

Tags:  

Comments