NMB Bank Advertiser
1214
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewataka viongozi wa vyama vya mpira wa miguu vya mikoa kuhakikisha wanaingiza wachezaji wenye umri sahihi katika michuano ya U15 FIFA Copa Coca-Cola...
20130321-215042.jpg
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete hii leo amezindua uwanja wa klabu ya Azam FC inayomilikiwa na makampuni ya Said Salim Bakhresa ya jijini Dar es Salam.   Rais Kikwete...
20130318-181335.jpg
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala hii tuliona jinsi Simba ilivyokusanya vijana mwaka 1971 na kutengeneza timu iliyokuja kuleta matunda mazuri mwaka 1974. Kikosi hicho hakikuwa moja ya vikosi vinne vya Yanga na Simba...
DSC03054
NCHI ya Tanzania, ndani ya miaka 51 ya uhuru wake, imekuwa na matukio ya kusisimua yanayohusu soka yake kama vile Cosmopolitan ya jijini Dar es Salaam kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kuiwakilisha nchi yetu...
1214
Tanzania Football Federation (TFF) narrowly survived a rare scare on conceding defeat in its constitution amendment voting as the majority of Congress delegates voted in favour of the proposals. There was tension among football...
+ Read more | Comments Off
The Boxing Federation of Tanzania (BFT) has released a provisional national team squad comprising 37 boxers in preparations for international bouts. BFT secretary general Makore Mashaga said the body’s technical team and national team...
+ Read more | Comments Off
DSC02077
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu mstaafu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Erasto Zambi kilichotokea jana (Septemba 26 mwaka huu) jijini Dar es...
+ Read more | Comments Off
IMG_0132-e1360354702292
*Huenda ikacheza mechi ijayo uwanja mtupu *Suala la Rio Ferdinand linaitumbukia nyongo Majaliwa ya England kufanya vizuri kuelekea Kombe la Dunia 2014 Brazil yanazidi kuingia doa. Safari hii ni tetesi kwamba huenda wakaadhibiwa na...
IMG_0128
Wakenya wawili wanaoshiriki mbio za marathon wamefungiwa baada ya kutiwa hatiani kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni. Hatua hiyo inakuja baada ya wanariadha wengine watatu wa nchi hiyo kusimamishwa mwezi uliopita. Katibu Mkuu...
Thadeo Leonard
Serikali imekubali mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uendelee kwa sharti la kuhakikisha haki inatendeka kwa wagombea waliofika mbele ya Kamati ya Rufani ya Uchaguzi. Akizungumza na Waandishi wa...
Yanga ya zamani
SAHAU habari ya kikosi cha vijana wadogo wa Simba kilichotengenezwa mwaka 1971 na kufanya makubwa mwaka 1974, kuna vikosi vinne vya Yanga na Simba vilivyotengenezwa kisayansi na matunda yake kuonekana. Kuna viwili vya Yanga...
IMG_0392
*Arsenal yajipa hadhi ya nyota tano Wakati Chelsea wamepoteza nafasi ya kuingia fainali ya Capital One Cup, Arsenal wamewakandika West Ham United mabao 5-1 kwenye Ligi Kuu ya England (EPL). Chelsea waliingia uwanjani ugenini...
DSC01521
Athletes from nine countries have confirmed to compete in the fourth edition of Rock City Half Marathon expected to be staged in Mwanza on October 28. Grace Sanga of the Capital-Plus International (CPI) entrusted...
+ Read more | Comments Off
Moja ya timu za mchezo wa pete, Tanzania
Filbert Bayi Foundation netball team head coach Mary Waya has urged sports authorities in the country to introduce netball from grassroots level to hasten its development in the country. Waya, who has just guided...
+ Read more | Comments Off