HATIMAYE WENGER KANG’OKA ARSENAL
Baada ya kukaa miaka 22 katika klabu ya Arsenal, kocha Arsene Wenger leo kupitia ntandao wa klabu ya Arsenal katangaza…
Baada ya kukaa miaka 22 katika klabu ya Arsenal, kocha Arsene Wenger leo kupitia ntandao wa klabu ya Arsenal katangaza…
Ndani ya miaka mitatu Yanga imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika mara mbili. Miaka…
Jana kulikuwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Sokoine kati ya Mbeya City na Yanga. Katika mchezo huo ulimalizika kwa timu zote kutoka sare ya goli 1-1, kuna mengi yaliyotokea ikiwemo v…
April 23, 2018Wakati Pep Guardiola na Manchester City wakiweka rekodi za maana na kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu huu, Arsene Wenger na Arsenal pia wanaweka rekodi zao. Tofauti iliyopo ni kwamba Manches…
April 18, 2018Kuna mengi yamebadilika sana tangu mwalimu Pierre Lenchantre na Masoud Djuma walipoichukua timu. Wengi wanaweza wakaona mabadiliko ya kimfumo peke yake kutoka timu kucheza 4-4-2 mpaka 3-5-2 Hiki ndi…
April 17, 2018Mpira ni pesa, hii kauli ina maana kubwa sana ingawa sisi tunaichukulia kawaida kwa sababu tumezoea kuchukulia vitu kawaida katika ukawaida usio wa kawaida. Mpira unatengeneza pesa nyingi sana kama uk…
April 15, 2018Tumaini lilianza kujengeka mioyoni mwetu kwa sababu tuliona kuna kitu kinachoitwa “mbadala” katika mpira wetu. Wengi wetu tumechoka na tunataka kuona mabadiliko makubwa yenye mwanga w…
April 14, 2018Mvua ilikata ghafla, manyunyu yakabaki katika anga la klabu Yanga. Dalili ya kwamba mvua ya neema ilikuwa inapotea na kiangazi kukaribia zilianza kuonekana baada ya mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu. Yusu…
April 13, 2018Kila mtu anamuonea huruma na kuna wakati mwingine huruma hizi zinaenda sambamba na sifa nyingi kuhusu kipaji chake. Golikipa aliyedumu kwa muda mrefu tena kwenye kiwango chake bila kutetereka, miaka 4…
April 12, 2018Wiki iliyopita ilikuwa wiki ngumu sana kwa Pep Guardiola baada ya kupoteza michezo miwili kwa magoli sita (6) jumla, kazi kubwa waliyonayo leo ni wao kuhakikisha wanaifunga Liverpool kuanzia magoli 4-…
April 10, 2018Baridi limevaa ngozi yangu hii imekuwa kawaida sana siku hizi asubuhi kuwa na baridi kutokana na mvua, mvua ambayo imetusahaurisha kuhusu joto la Dar es Salaam Joto ambalo limekuwa likitutesa kwa muda m…
April 9, 2018Kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya England, Mohamed Salah ana uwiano wa bao katika kila dakika 86 za EPL. Yeye ndiye mwenye uwiano mzuri zaidi akifuatiwa na Sergio Aguero anayeshikilia uwiano wa bao moja katik…
YANGA INAWAZA VIZURI , INATEKELEZA KAWAIDA Tulizoea kupata vitu kutokana na hisani ya mtu ili macho yetu yaweze kushuhudia jua likizama na kukaribisha giza. Maisha yetu yalikuwa yanamtegemea mtu kutu…
April 8, 2018Yanga waliingia na mfumo wa 4-4-2 Diamond wakati Wallayta Dicha walikuwa wanacheza mfumo wa 4-4-2 Lakini pamoja na kwamba Yanga kwenye karatasi ilionekana wanacheza 4-4-2 Diamond, uwanjani walionek…
April 7, 2018The NSC management need to works hand in hand with the student’s organization to improve and maintain sports and games in a sustainable manner. Students participate in sports organized for all Higher learning institutions (SHIMIVUTA) held yearly as well as inter College games and internal competitions. Other social activities include Mr&Miss Talent and Freshers party.
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA) hukutanisha wachezaji waliochujwa kutoka shule mbalimbali, mfumo wa mashindano yao ni kwa kanda.
Pamoja na kuchanua kidogo kwa umoja huu, kwa maana ya wachezaji walioanzia huko kung’ara kitaifa na kimataifa, nguvu zaidi zinatakiwa kuwekezwa.
UMISSETA ni eneo la mpito kwa wanamichezo wanaochipukia, wakiwa wametokea ngazi ya chini ya UMITASHUMTA. Kutoka ngazi yao, wanaweza kuingia kwenye ushindani zaidi wa michezo ndani na hata nje ya nchi.
UMISSETA hushirikisha wanafunzi kwenye michezo ya Bao, Kikapu, Kurusha Tufe, Meza, Netiboli, Mikono, Riadha, Soka na Wavu.
Michezo ni moja ya maeneo yanayotumika kutambulisha, kutangaza, kuipatia sifa nchi na hata utajiri kwa wanamichezo wake.
Uendelevu wa michezo huwezekana tu kwa kuenzi mfumo wa kutambua vipaji kutoka ngazi za chini, kuviibua na kuvikuza.
Kutokana na ukubwa wa nchi kijiografia na sababu nyinginezo, nchi imegawanywa katika kanda, mikoa na wilaya.