*Yanga walitakata, Azam nao, Simba doro *Sintofahamu bado katika upangaji mechi KUNA mambo yasiyo ya kawaida yaliyojitokeza kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara iliyomalizika Jumamosi ya Mei 18, 2013 kwa Yanga kutia nakshi sherehe...
*Chelsea wamsubiri ‘mtu wao’ kwa hamu Sasa ni rasmi kwamba Jose Mourinho ‘The Only One’ anaachana na Real Madrid mwishoni mwa msimu, baada ya miaka mitatu ya kufundisha miamba hao wa Hispania. Klabu hiyo...
*Arsenal, Chelsea, Spurs zawinda nafasi mbili *Moyes: Everton tutawabana Chelsea vilivyo Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza (EPL) inaingia mzunguko wa mwisho, timu tatu zikiwania nafasi mbili za kuiwakilisha nchi Ligi ya Mabingwa Ulaya....
Yanga nao wanasema haiwezekani washindwe kuifunga timu ambayo imepata kibahati nafasi ya tatu. Kwa ufupi timu zote zinatumia neno hili ‘haiwezekani”. Maskani ya Simba na Yanga ni Dar es Salaam, lakini zilikimbilia...
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo (Mei 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiwinda kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco itakayochezwa Juni 8...
*Wawashusha daraja Wigan, wawatengua Spurs Arsenal wamenyakua tena nafasi katika nne bora, wakiwashusha Tottenham Hotspurs hadi nafasi ya tano na kuwashusha daraja Wigan Athletic. Katika mechi iliyochezwa Emirates saa 72 tangu Wigan kutwaa Kombe...
*Vita ya kushuka ni Wigan, Sunderland, Villa Hafla ya kukabidhiwa kombe na kumuaga kocha Sir Alex Ferguson imefana baada ya Manchester United kuwafunga Swansea 2-1 na kufikisha pointi 88 dhidi ya 75 za Manchester...
*Ni Pulis wa Stoke, Benitez apigiwa chapuo *Ukiacha Wenger, aliyekaa zaidi ni miaka 3 Msimu wa 2012/13 umeonekana mchungu kwa makocha, kwani Tony Pulis wa Stoke City ametema kibarua chake, siku chache baada...
*Di Matteo apewa tuzo maalumu Alex Ferguson amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwaka na Chama cha Makocha wa England (LMA), baada ya kuwaongoza Manchester United kutwaa ubingwa wao wa 20. Fergie (71) anastaafu rasmi...
*Waungana na Man U, Man City na Chelsea Ulaya *Spurs kilio licha ya kushinda, wanaostaafu waaga Arsenal wamewazidi nguvu mahasimu wao wa London Kaskazini, Tottenham Hotspurs na kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa...
Dhamira ya Yanga kusherehekea ubingwa wa Bara kwa kuwafunga Simba imetimia kwenye Uwanja wa Taifa baada ya kuwanyoa mahasimu wao hao kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kufunga msimu ulioacha matukio ya aina yake...
*Afuata nyayo za Fergie, Ferdinand Msimu wa Ligi Kuu ya England (EPL) unapoingia mwisho, habari za kustaafu zinaonekana kuwa nyingi. Wakati wadau wakitafakari uamuzi uliochukuliwa kuwa wa ghafla na wa kushangaza wa kocha Sir...
*Chelsea watwaa Kombe la Europa jioni *Benfica wazungusha lakini si kufunga Rafa Benitez amefunika ulimwengu wa soka tena, wiki hii kwa kutwaa Kombe la Europa akiwa na Chelsea, na ni tuzo kubwa kwake anapomaliza...
Hatimaye vumbi la miezi kadhaa juu ya kufutwa kazi au la kwa Kocha Mkuu wa Manchester City, Roberto Mancini limetulizwa na wamiliki wa Kiarabu kwa kumfukuza kazi Mtaliano huyo. Sababu kubwa wanayotoa ni kwamba...



















