*Vyama vya michezo mingine vipewe msaada na umuhimu kama wa soka Inasikitisha sana kwamba Watanzania tumeipa kisogo michezo mingine isiyo soka kwa sababu za kibiashara. Hakuna ubishi soka inalipa kutokana na kupendwa na...
Wakenya wawili wanaoshiriki mbio za marathon wamefungiwa baada ya kutiwa hatiani kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni. Hatua hiyo inakuja baada ya wanariadha wengine watatu wa nchi hiyo kusimamishwa mwezi uliopita. Katibu Mkuu...
*Mashindano ya FA ni muhimu. *Mashindano ya mashule yaboreshwe *Wasomi wa taaluma ya michezo washirikishwe katika maamuzi ya michezo KILIO cha Watanzania wengi kutaka soka ya Tanzania iinuliwe kilizidi pale Cape Verde walipofanikiwa kuingia...
I just wanted to take a few minutes to say thank-you for your awesome support throughout the year, and, wish you a Merry Christmas and a happy New Year. I hope it brings you all...
National Sports Council of Tanzania (NSC) TANCOT HOUSE, SOKOINE DRIVE/PAMBA ROAD 2ND FLOOR P. O. Box 20116 Dar es Salaam. Tanzania Tel. +255 22 2111943/713 329409 Fax: + 255 22...
+ Read more | Comments Off
Nikiwa njiani kutoka Morogoro kulikokuwa kukifanyika mashindano yaTaifa kutafuta klabu bingwa nchini mpira wa wavu napokea simu kutoka kwa Mwinga Mwanjala Afisa Utawala wa Kamati ya Olimpiki Tanzania akinieleza rafiki yako Erasto Zambi hatuko...
+ Read more | Comments Off
Miongoni mwa vitu ambavyo wakazi wa jiji la Arusha wanajutia hivi leo ni kufa kwa mbio maarufu za Mount Meru International Marathon. Ni ukweli usiopingika mbio hizi zilikuwa maarufu kuliko hata zile zinazofanyika katika...
+ Read more | Comments Off
It is hard to believe but during my young ages I was always hearing one radio commentator that the Egyptians were the first people to tame domestic cats I believe and still believe the...
WANAOUFAHAMU ukweli huu watakubaliana nasi kwamba Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) ulisaidia sana kuinua michezo nchini hasa utaratibu huo ulipokuwa mwendelezo wa utaratibu ulioanzia shule za msingi wa UMISHUMTA mwanzoni...
*Vyama vya michezo inabidi viwe vibunifu. *Mazingira ya Nchi yanaruhusu wanamichezo kufanya vizuri. Kwa siku kadhaa sasa, mjadala ambao unatawala miongoni mwa Watanzania wengi ni matokeo mabaya ya mtihani wa kumaliza kidato cha...
Dickson Marwa of Holili Club showed his prowess in the 10km run on the week end by winning this year’s Karatu Sports Festival held in Karatu Arusha. The race involved over 70 runners from various clubs nationwide fought vigorously for top honours. Dickson Marwa took only 27.26.42 minutes...
*Ukame wa medali kwa miaka 22 ufike mwisho *Uchaguzi uwe fursa kwa waliosomea michezo Mchakato umeanza kwa ajili ya kupata safu mpya ya viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Uchaguzi mkuu wa chombo...
Athletes from nine countries have confirmed to compete in the fourth edition of Rock City Half Marathon expected to be staged in Mwanza on October 28. Grace Sanga of the Capital-Plus International (CPI) entrusted...
+ Read more | Comments Off
Dar es salaam city is expected to host a charity half marathon whose proceeds would cater for the construction of children’s wards of the Chalinze Hospital at a date to be announced later. The...




















