Bahati kubwa niliyopata maishani ni nafasi ya kutembea, na kutembea ni kujifunza, safari za viwanjani zinapendeza sana, na pia zinakupa nafasi ya kuelewa jinsi watu wa utamaduni tofauti wanavyoweza...
Nilipata bahati ya kushiriki kwenye sherehe za mwaka mmoja kabla ya Olimpiki kufanyika London, nilikuwa na nguli wa utangazaji mzee wa kisa na mkasa……
Katika kukua kwangu kimichezo, nakumbuka sana janga lililotea Heysel stadium kati ya mashabiki wa Juventus na Liverpool katika fainali ya kombe la ubingwa wa ulaya nchini Ubelgiji, hatika taflani...
Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012, Timu ya Tanzania iliwasili jijini London na katika kukaribishwa na wenyeji wao, tulijumuika pamoja na mhe Balozi wetu katika Uingereza Mhe...
Mara nyingi huku ugenini tunajichanganya kila tupatapo nafasi ya kufanya hivyo, si kama huko nyumbani ambako mitoko mingi ni “Organic” hata hivyo huwa tunajichanganya…
Sehemu ninayoishi na kufanyia kazi hapa London, ni karibu sana na Uwanja wa Arsenal, kwa hiyo siku za mechi za nyumbani kwa Arsenal huwa nashuhudia kila aina ya vituko,...
Kufuatia kubadilisha muonekano wa tanzaniasports.com, nimeona nije na picha nyingi za zamani zile
Mwaka 2010, ulikuwa ni mwaka muhimu sana katika historia ya soka Duniani, Bara la afrika kupitia Nchi ya Afrika Kusini( South Africa) iliweza kuwa mwenyeji wa fainali hizo muhimu...














