NMB Bank Advertiser
20130517-090814.jpg
*Afuata nyayo za Fergie, Ferdinand Msimu wa Ligi Kuu ya England (EPL) unapoingia mwisho, habari za kustaafu zinaonekana kuwa nyingi. Wakati wadau wakitafakari uamuzi uliochukuliwa kuwa wa ghafla na wa kushangaza wa kocha Sir...
20130515-224925.jpg
*Chelsea watwaa Kombe la Europa jioni *Benfica wazungusha lakini si kufunga Rafa Benitez amefunika ulimwengu wa soka tena, wiki hii kwa kutwaa Kombe la Europa akiwa na Chelsea, na ni tuzo kubwa kwake anapomaliza...
20130514-204945.jpg
Hatimaye vumbi la miezi kadhaa juu ya kufutwa kazi au la kwa Kocha Mkuu wa Manchester City, Roberto Mancini limetulizwa na wamiliki wa Kiarabu kwa kumfukuza kazi Mtaliano huyo. Sababu kubwa wanayotoa ni kwamba...
20130511-224321.jpg
*Wawatibulia Manchester City Gwaride lililokuwa limepangwa kulipamba jiji la Manchester limeota mbawa, baada ya Wigan Athletic kuwaadabisha Manchester City na kutwaa kombe la FA katika fainali dimbani Wembley. Ilikuwa fainali ya ‘Roberto M’ wawili...
20130509-222406.jpg
Moyes, amekalia kuti kavu Man Utd… Nianze kwa kusema kwamba David Moyes ni kocha mzuri sana na amefanya kazi ya ajabu iliyowapendeza wadau wa Everton. Moyes alikabidhiwa timu ambayo ilikuwa kawaida yake kuwa nafasi...
20130508-222142.jpg
Bao la kusawazisha la dakika ya 80 la mchezaji aliyeingia kipindi cha pili, Gylfi Sigurdsson limewaacha Chelsea na Tottenham Hotspurs kwenye vita ya kuwania kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya. Pamoja nao katika mchuano huo...
20130316-214935.jpg
Manchester United manager Alex Ferguson is retiring after more than a quarter of a century at the helm, the soccer club announced Wednesday.   The 71-year-old Scot has managed the English club — which...
DSC03054
  Yanga nao wanasema haiwezekani washindwe kuifunga timu ambayo imepata kibahati nafasi ya tatu. Kwa ufupi timu zote zinatumia neno hili ‘haiwezekani”.   Maskani ya Simba na Yanga ni Dar es Salaam, lakini zilikimbilia...
20130516-123332.jpg
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo (Mei 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiwinda kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco itakayochezwa Juni 8...
20130514-221902.jpg
*Wawashusha daraja Wigan, wawatengua Spurs Arsenal wamenyakua tena nafasi katika nne bora, wakiwashusha Tottenham Hotspurs hadi nafasi ya tano na kuwashusha daraja Wigan Athletic. Katika mechi iliyochezwa Emirates saa 72 tangu Wigan kutwaa Kombe...
20130512-194748.jpg
*Vita ya kushuka ni Wigan, Sunderland, Villa Hafla ya kukabidhiwa kombe na kumuaga kocha Sir Alex Ferguson imefana baada ya Manchester United kuwafunga Swansea 2-1 na kufikisha pointi 88 dhidi ya 75 za Manchester...
20130511-152121.jpg
*Benteke awagharimu Villa Chelsea wamekaribia kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kupata pointi tatu muhimu kwa jasho na damu nyumbani kwa Aston Villa, walipowafunga mabao 2-1. Mabao ya The Blues...
2Ofisi_Mpya_za_Shirikisho_La_Mpira_Wa_Miguu_Tanzania_TFF
Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unatarajiwa kufanyika Septemba 29 mwaka huu baada ya ule wa Dharura wa marekebisho ya Katiba ulipangwa kufanyika Julai 13 mwaka huu. Tarehe...
20130508-153108.jpg
*Ajivunia mataji 38 kwa miaka 26 *Maswali ya atakayemrithi yatanda Mtikisiko umeukumba ulimwengu wa soka, baada ya tamko la kocha mkuu wa Manchester United, Sir Alex Ferguson kwamba ameamua kung’atuka. Mwangwi wa uamuzi na...